MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Lowassa si mtu wa siasa za majitaka.
Bali ni DOG anayetarajiwa kukabidhiwa Bucha 2015
Lowassa si mtu wa siasa za majitaka.
Chawa wanakun'gata sana.Bali ni DOG anayetarajiwa kukabidhiwa Bucha 2015
Mtabaki na hiyo mentality kuwa Lowasa ni fisadi..
Wameru wanamkubali Lowassa. He is their hero!
Mtabaki na hiyo mentality kuwa Lowasa ni fisadi..
Wameru wanamkubali Lowassa. He is their hero!
Mkuu hebu thibitisha kauli yakoKitu ambacho kinanifurahisha Lowassa ana watu wake kila chama cha siasa, ukienda CDM kuna kundi lake ukienda CUF ndiyo usiseme, ukienda NCCR Mageuzi ana kundi lake mtu kama huyu kupambana nae ni kazi.
Wewe nawe mnafiki kweli unaiponda CcM lakn wakati huo huo unamshabikia huyu FISADI wa kimataifaLowassa si mtu wa siasa za majitaka.
You can say that againMwanasiasa aliye na nguvu na ushawishi mkubwa kwa sasa ndani ya Tanzania hii ni Lowasa! Kajipanga vizuri sana kwenye kila nyanja.
kama wameru ni waroho wa pesa za kifisadi basi kauli yako ina ukweli maana EL ni sabuni ya roho ya pesa za kifisadi,
[/QUOTE
du fedha hatuziachi kabisa tutazila kabla za Matlda kwa sababu ni pesa za Taifa letu lakini kura kwa huyo mkwe wake hasahau ka
bisa
Huyo dogo huoni watu wanampotezea siku hizi,yeye hayuko chama chochote bali anasukumwa na udini,anataka rais awe mlutheri mwenzake kutoka chama chochote kile we hujamuelewa tuWewe nawe mnafiki kweli unaiponda CcM lakn wakati huo huo unamshabikia huyu FISADI wa kimataifa
Kwa heshima alizonazo ni aibu kwake kujitokeza wazi kutetea dushelele la mwanae
Naona taratibu umeanza kumsujudia Lowassa. Ukweli mchungu ila itabidi uumeze hivyohivyo.siasa za majimboni ndio size yake kwa sasa akapigwe na vumbi huko na hizo homa zake za vipindi,pia chadema ndio size ya lowassa sio ccm yote ishindane na chadema,lowassa anawatosha,tumemtuma muhangaike nae ili alipe kisasi cha arusha mjini mlichomtenda.
Kahawa na halua zinakusubiri!Huyo dogo huoni watu wanampotezea siku hizi,yeye hayuko chama chochote bali anasukumwa na udini,anataka rais awe mlutheri mwenzake kutoka chama chochote kile we hujamuelewa tu
Mbona NEC wanampango wa kumfuta Siyoi wiki ijayo mapema? ... i think..
Mtabaki na hiyo mentality kuwa Lowasa ni fisadi..
Wameru wanamkubali Lowassa. He is their hero!