Lowassa kuanza kampeni wiki ijayo

Hata Hitler alikuwa Hero wa kundi fulani la watu, na bado kuna watu miaka zaidi ya 65 baadaye bado wanamuona Hero.
Amina alikuwa Hero.
Mobuto alikuwa Hero.
Hata Ian Smith alikuwa Hero

Hii si mentality ni Truth Mheshimiwa huyu Edward Lowassa ni FISADI.
Ila kuna watu UFISADI wanaita kuchangamka.

Kweli mkuu...
Kuna wanaomuona Hitler kama Genius..
 
Chadema wajanja sana. Wanajuwa wazi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kiti cha urais 2015 endapo CCM watamchagua EL kuwa mgombea wa CCM wa kiti hicho. Wanachofanya sasa nikumpandisha chati EL na kumsaidia kuanza kampeni zake haraka. Take my words, in the coming year before 2015 chati ya EL itatoboa dali.
 
Kitu ambacho kinanifurahisha Lowassa ana watu wake kila chama cha siasa, ukienda CDM kuna kundi lake ukienda CUF ndiyo usiseme, ukienda NCCR Mageuzi ana kundi lake mtu kama huyu kupambana nae ni kazi.
Lowassa ana mvuto wa asili kisiasa, ni born leader.
 
Chadema wajanja sana. Wanajuwa wazi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kiti cha urais 2015 endapo CCM watamchagua EL kuwa mgombea wa CCM wa kiti hicho. Wanachofanya sasa nikumpandisha chati EL na kumsaidia kuanza kampeni zake haraka. Take my words, in the coming year before 2015 chati ya EL itatoboa dali.

Mgonjwa,
Hivi kweli CDM ndiyo wanampandisha chati Lowassa wewe kweli mgonjwa.
 
Mgonjwa,
Hivi kweli CDM ndiyo wanampandisha chati Lowassa wewe kweli mgonjwa.

Kabisa, ushindi wa Chadema 2015 utakuwa wa uhakika endapo EL atasimama vs mtu yeyote Chadema. Chadema wanalijuwa hili fika na wanaomba litokee. Nisingependa nitaje source lakini ukweli ndio huo. Take it or leave it.
 
Arusha ndo alikuwa na nguvu huyu LOWA USAHA! Bt naw days raia wameshtuka so msitegemee watadanganyika kirahisi.
 
Sina uhakika siku ambayo Lowassa atakapo rudisha jezi itakuwa vipi? He looks and sound like a semi-God...! shit..!

Anywayz - jana nilimwona kwenye Luninga akisema yupo "fit" but he looks SICK..!
 
nadhani mh.lowasa atasafisha hali ya hewa hapo arumeru,ambayo imewakuta ccm

HOW ? Ujue kipindi hiki kifo cha nyani kwani CCM wamekuja na mapanga butu yoote. Mwaaache aje akumbushie Machungu ya Richmond na hapo ndipo wananchi wataanza kilio kwani wanajua alivyochangia kuizamisha nchi. KARIBU LOWASSA UOKOE JAHAZI historia ilishafutika baba na wananchi wana akili la chawa walishasahau:angry:
 
Back
Top Bottom