Lowassa, Kingunge, Nchimbi na Sophia mnasubiri nini kurudisha kadi za chama chetu?

Chadema itampokea Lowassa peke yake au pamoja na kina Rostam, Chenge, Tibaijuka, Karamagi n.k?ijitafakari sana isifanye maamuzi kwa pupa ku respond mhemko wa wana Mtandao, watu wa Kitengo kabla ya kuamua kumtema Lowassa walishajadili Plan B ya Lowassa kuhama. Dkt Slaa arudi Karatu kama kweli Ngoyai atahamia huko

chama kinaendeshwa kwa kufuata upepo wa mitandaoni hicho....
 
Chadema itampokea Lowassa peke yake au pamoja na kina Rostam, Chenge, Tibaijuka, Karamagi n.k?ijitafakari sana isifanye maamuzi kwa pupa ku respond mhemko wa wana Mtandao, watu wa Kitengo kabla ya kuamua kumtema Lowassa walishajadili Plan B ya Lowassa kuhama. Dkt Slaa arudi Karatu kama kweli Ngoyai atahamia huko

Chadema mwisho wake umefika hatuko tayari kuongozwa na mafisadi

Chadema ndio mafisadi no.moja.
Ndege wanaofanana ndio wanaoruka pamoja.
 
Mmekaa kujiliza liza tu kuwa mmeonewa,kwani sie tuliwatuma mtumie mapesa yote yale..msisubiri tuwafukuze,jiondoeni wenyewe.jinga kabisa nyie..
Wewe umfukuze nani? Chama kina wenyewe, we tulia wenye chama waongee.
 
Mmekaa kujiliza liza tu kuwa mmeonewa,kwani sie tuliwatuma mtumie mapesa yote yale..msisubiri tuwafukuze,jiondoeni wenyewe.jinga kabisa nyie..
Duh! Kuwa mpole kidogo mkuu, unawakandya mno. Huenda wanatafakari kurudi na kuomba msamaha kwa kupingana na maamuzi ya chama hadharani. wakitubu wasameheni tu.
 
Nimeona hapa comment nyingi za wadau, kuhusu CDM or UKAWA kumpokea Lowasa ili awe mgombea wao. Jamani mimi najiuliza Lowasa huyu huyu alitemwa na CCM mara hii amekwisha kuwaa bora kugombea Urais ndani ya cdm or Ukawa au ni mwingine?

Naruhusu hata kukanwa katika hili, lakini hata katika tone la mwisho wa damu yangu, bado naamini Ndg Lowasa sio mtu sahihi wa kuliongoza Taifa langu la Tanzania sasa na hata baadaye. Anaweza akafanya kazi nyingine yoyote vizuri tu, alkini sio kuingia Ikulu ya JMT. Kwa ufupi huwa najiuliza atawaweka wapi marafiki zake wote waliowekeza fedha zao kwake? Atawalipa nini na mwisho siku naona giza zaidi kuliko nuru endapo tu siku moja nitaamuka na EL ndio ndio rais wangu wa JMT.

Any way acha tusubiri soon every thing will be open.
 
Ni swala la wakati tu,tusubiri na kuona kwani naona kama ni movie ndo kwanza iko scene ya kwanza,its a time for hard decision Mr x PM,nyuma yake kuna jeshi kubwa hao waliojitokeza ni kidogo sana,,Time ll tell...
 
Mtoa uzi hao hata wakiondoka wewe itakusaidia nn?? Manake hata Nape na Kinana tu walozunguka nchi nzima hawakujui wewe pangu pakavu tu wewe!!! Bogus headache!!
 
hiki sio chama cha mtu ni chetu sote pili kila mtu ana haki kikatiba kutoa maoni yake hayo ni maoni yao usiwahukumu. mbona ww hurudishi kadi wakati unapingana kimaoni na hawa
 
Aaaaaah doktaaaaaz........
kama vipi........bado anazengua...mpeni sindano ya maji......inyutrolaiz mzunguko wa dawa............

Dr Preta.......

Duu Dr. Preta na sindano ya Maji loh...!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom