Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Mwanzoni walikuwa wapo kila mahali kwa maana walitegemea kwamba Raisi Magufuli ni nguvu ya soda na kwamba ni swala la muda tu kabla nchi haijamshinda na kurudia yale yale tuliyoyazoea na wao kuja na kwamba tuliwaambia, lkn Raisi Magufuli amewaonyesha kwamba yeye siyo nguvu ya soda na Raisi Magufuli ni real deal!
Kingunge aliulizwa kuhusu Raisi Magufuli akasema atamuongelea baada ya siku 100, siku 100 zilipofika anatafutwa kuulizwa kuhusu Uraisi wa Magufuli akachomoa kuongea chochote akaingia mitini, na kwa rafiki yake kipenzi fisadi Lowasa hivyo hivyo mwanzoni alikuwa anapimana nguvu na Raisi Magufuli na tuliona chochote alichofanya Magufuli na yeye alijibu ili kutafuta kick ya kutaka kubakia relevant wakaja na propaganda kibao na tegemeo lao kubwa lilikuwa Sera za nje za Raisi Magufuli kwamba hapa ndipo pangeonyesha udhaifu wa Raisi Magufuli kwa kuwa hana uzoefu huwo na wapate pa kumbomolea!
Mungu si Athumani Mkutano Mkuu wa AM ukaja Arusha chini ya Mwenyekiti Raisi Magufuli huko ndiyo Raisi Magufuli akamaliza kabisa ameacha gumzo kubwa hata ma hard core kama Raisi Kagame, Museveni wameblo na Raisi Magufuli, miezi mitatu na ushehe madarakani tayari anataka kuireform Jumuiya ya AM hasa kwenye matumizi mabaya ya fedha na pia ni lazima Kiswahili chetu ndiyo kiwe lugha rasmi, ambapo imevuka mipaka na kuwafanya wananchi wa Kenya, Uganda, n.k wawadharau viongozi wao kwani wamekuweko kwa miaka kibao lkn hakuna walichofanya Raisi Magufuli siku ya kwanza tayari anataka kufanya makubwa, anawauliza maswali magumu kwa nini mfanyie Mkutano kwenye Hoteli aghali wkt tuna ukumbi wa AM Arusha? anawaambia hii ni Jumuiya ya watu Masikini na hatuwezi kuchezea fedha!!
Sasa fisadi Lowasa, Kingunge &Co. wana hoja gani tena dhidi ya Raisi Magufuli? Kwa kifupi hamna na ndiyo maana wamekubali yaishe na sasa wameingia mitini wamewaachia Mbowe, Lisu ndiyo wapambane na Magufuli, chadema imerudi tena kwenye ,,drawing board" wanasema Wazungu!
Ndiyo mjue kwamba mtu genius ni genius tu na hapa Raisi Magufuli ni genius man kwa maana ingawaje hana uzoefu na mambo ya Siasa kama fisadi Lowasa, Kingunge sijui Mwapachu lkn amewa out perform kwenye karibia kila eneo na sasa ni Magufuli tu nchi nzima, AM nzima mpaka Rwanda ambayo siku zote walikuwa wanaona Kagame hana mpinzani wamebloo na Raisi Magufuli!

,,Never underestimate the power of a genius, never"!
HAPA KAZI TU!