Hii ni nchi ndugu yangu. Haijaribiwi kwa benefit of doubt. Who will be his victim? Thought of Mwakyembe, Sitta or common wananchi. Lowassa anatakiwa aanze kuyajibu maswali yetu na anafaham wenye mashaka kwanini hawataki kumchagua. Anafaham uchafu wa nchi hii kwa sababu alikuwa ndani ya mfumo. Asimame na aanze kutueleza uchafu ule na namna ya kuusafisha kama anauwezo huo. CCM wanamfaham vilivyo akifungua mdomo wake watamueleza kila lililo lake. Baada ya miezi 3 kama atashindwa uchaguzi, Lowassa atakubali historia imuandike kwamba alikufa amevaa gwanda?