Lowassa: Kikwete Ameharibu Uchumi

achana nayo fanya mambo mengne.
maisha magumu unakesha j.miii forum ??
maisha magumu soko la kina iphone. samsung na magar ya bei yamejazanaa foren??
mnataka maisha gan nyinyi ???
unadhan chadema itakuja kutatua matatizo yak ya familia.????
hahahah nifah beiby
Ptuuu...ni kufikiri gani huku???? Ni Watanzania mamilioni mangapi wako hapa jf..na ni wangapi wanaweza kununua hizo iphone??
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Siasa hizi bwana balaa, hapa ENL anatakiwa afahamu nani adui yake kwenye jukwaa. Nimesema hivi kwa sababu akitaja Kikwete hawezi kupata credit kwa kuwa huyu si mshindani wake tena. Yeye aseme weakness za Magufuli kwa kuwa ndiye mshindani wake.

Akishindwa hapo basi tusubiri tsunami ifanye kazi zake
 
Tusubiri tuone...acha tumpe benefit of the doubt
Hii ni nchi ndugu yangu. Haijaribiwi kwa benefit of doubt. Who will be his victim? Thought of Mwakyembe, Sitta or common wananchi. Lowassa anatakiwa aanze kuyajibu maswali yetu na anafaham wenye mashaka kwanini hawataki kumchagua. Anafaham uchafu wa nchi hii kwa sababu alikuwa ndani ya mfumo. Asimame na aanze kutueleza uchafu ule na namna ya kuusafisha kama anauwezo huo. CCM wanamfaham vilivyo akifungua mdomo wake watamueleza kila lililo lake. Baada ya miezi 3 kama atashindwa uchaguzi, Lowassa atakubali historia imuandike kwamba alikufa amevaa gwanda?
 
Huyo lowassa alikuwa wapi? Unafiki huu wa kiwazimu kweli, Halafu hana cha kusema ila tu ntawafanya Watanzania matajiri kwa njia ipi? Holaa hakuna anachojua zaidi ya ajira ni bomu na ntawafanya watz matajiri, nyumbu hata hawawazi utajiri huo utatoka wapi

Acha upogo dogo.. ccm hakuna rangi mtaacha kuona mwaka huu.. ukweli ni kwamba m/kwere kaharibu uchumi.. tembo zimeisha chini yake ..
 
Hii ni nchi ndugu yangu. Haijaribiwi kwa benefit of doubt. Who will be his victim? Thought of Mwakyembe, Sitta or common wananchi. Lowassa anatakiwa aanze kuyajibu maswali yetu na anafaham wenye mashaka kwanini hawataki kumchagua. Anafaham uchafu wa nchi hii kwa sababu alikuwa ndani ya mfumo. Asimame na aanze kutueleza uchafu ule na namna ya kuusafisha kama anauwezo huo. CCM wanamfaham vilivyo akifungua mdomo wake watamueleza kila lililo lake. Baada ya miezi 3 kama atashindwa uchaguzi, Lowassa atakubali historia imuandike kwamba alikufa amevaa gwanda?
Ishakuwa league....unataka tuendelee kuwapa nchi huu ukoo wa panya. Hatufanyi kosa hilo tena...miaka 50 ya wizi wa CCM watosha sana.
Kuhusu uchafu alianza jana. Subiri kampeni zianze mtatafuta pa kujificha.
 
Maneno kuntu! Ccm wanaweweseka, wanawayawaya, hawajui waseme nini...

Waanze kufungasha ili iwe rahisi kwao kupotea na wasirudi abadaan!
 
Ishakuwa league....unataka tuendelee kuwapa nchi huu ukoo wa panya. Hatufanyi kosa hilo tena...miaka 50 ya wizi wa CCM watosha sana.
Kuhusu uchafu alianza jana. Subiri kampeni zianze mtatafuta pa kujificha.
Tatizo misingi yoote ilikuwa imejengwa na upinzani imevunjika kwa haraka saana. Sina pa kuipeleka kura yangu. Haiwezekani hotuba zote zile leo ni kazi bure. Tatizo kwenye UKAWA kuna PANYABUKU. Panya hili hutafuna kila kitu.
 
Unamaanisha nini? Kwamba Watanzania tukiamua kwa pamoja hatuwezi kuing'oa CCM madarakani?

Bado watanzania hawajaona umuhimu wa siasa na wanalazimishwa kushiriki siasa ila hawako tayari, wewe huoni siasa inazungumziwa kwenye vijiwe vya kahawa tu? hao mnaowaona kwenye maandamano sio wapiga kura.
 
Nadhani watu wazima wenzangu au mliokuwepo mjini enzi hizo mnakumbuka hii kitu.Nilikuwa darasa la saba Mnazi Mmoja Primary School mwaka 1993 ,enzi za utawala wa Mzee Ruksa.

Sasa kuna mdosi mmoja bwana kanjibhai alikuwa amekula dili na watumishi wa wizara ya ardhi, wakawa wameuza bustani ya Mnazi Mmoja mkabala na Peacock Hotel.Ghafla eneo likawa limeshazungushiwa mabati wanataka kujenga ghorofa.

Kama mnavyofahamu wanafunzi wa enzi hizo na mihogo ya kukaanga, tukiwa tunakula mihogo kwa jamaa mmoja almaarufu kama Said Mihogo tukisubiri kengere ya namba kupitia Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) enzi hizo Sasa TBC,lowassa nadhani alikuwa waziri wa ardhi, akatangaza live kuwa huyo muhindi ametapeliwa hiyo bustani haiuzwi na akaamuru wananchi kujisevia mabati yaliyozungushiwa .

Kufumba na kufumbua wakazi wa Mnazi Mmoja na Kariakoo wakashambulia uzio huo na hapo ndio ikawa pona ya hiyo bustani,nasikia yule muhindi alijipiga risasi kwa hiyo bila lowassa leo hii bustani ya mnazi mmoja ingekuwa historia kuanzia hapo nilikuwa kijana mdogo lakini nalikumbuka vizuri tukio hilo.

Eneo hilo ndio serikali utumia kuadhimisha sherehe mbalimbali za wizara zake kama siku ya matende duniani au siku ya hedhi duniani

COPY & PASTE
 
Tanzanian watu wajenga cjapata kuona ndio maan wajanja wanawatumia kuupata yao .
Hivi mtu unaakili yk utawasikiliza viongoz wa siasa wa Tanzania wezi wa tupu kuanzia ccm hadi huko chadema cjui cuf cjui ukawa wezi wa tupu
 
Hivi wakati lowasa yupo PM kwenye senate walikua hawafuati ushauri wake?

nDIO MKUU NA NDO MAANA WALIMPATIA KESI YA rICHMOND AMBAYO HAIKUWA YAKE ILI WAMDHOHOFISHE.

NB:KUMBUKA ALIPOTEULIWA KWA MARA YA KWANZA NA KASI YAKE ILIVYOKUA UKILINGANISHA NA UTENDAJI WA SERIKALI KWA UJUMLA.
 
Bado watanzania hawajaona umuhimu wa siasa na wanalazimishwa kushiriki siasa ila hawako tayari, wewe huoni siasa inazungumziwa kwenye vijiwe vya kahawa tu? hao mnaowaona kwenye maandamano sio wapiga kura.

Badilisha hiyo id haraka, haiendani na huu ujinga ulioandika hapa.
Nachelea kusema kua bado hujaamka, na wala hutaki kuamka.
 
Badilisha hiyo id haraka, haiendani na huu ujinga ulioandika hapa.
Nachelea kusema kua bado hujaamka, na wala hutaki kuamka.

Nibadilishe ID iwe ya username gani na ili iweje? mimi ni mjinga ninayejua sijui, haya nieleweshe huo ujinga uliouona maana mjinga anahitaji elimu tu ili kujua asichojua.
 
Nibadilishe ID iwe ya username gani na ili iweje? mimi ni mjinga ninayejua sijui, haya nieleweshe huo ujinga uliouona maana mjinga anahitaji elimu tu ili kujua asichojua.

Usimuamshe aliyelala............
Vuta shuka.
 
Nibadilishe ID iwe ya username gani na ili iweje? mimi ni mjinga ninayejua sijui, haya nieleweshe huo ujinga uliouona maana mjinga anahitaji elimu tu ili kujua asichojua.

MKUU ACHA UBISHI KWANI nifah KACHUKIA SANA,KWANI TANZANIA YA SASA SIO YA KALE.

PALE TURIANI MAGOMENI NILIPOJIANDIKISHA KADI YA MPIGA KURA NILIKUA MSTARI MMOJA NA MATEJA KAMA WAWILI HIV,HATA MIMI MWENYEWE NILISHANGAAA,SO WATAPIGA KURA KWANI NAAMINI NAO WAMECHOKA
 
Tatizo misingi yoote ilikuwa imejengwa na upinzani imevunjika kwa haraka saana. Sina pa kuipeleka kura yangu. Haiwezekani hotuba zote zile leo ni kazi bure. Tatizo kwenye UKAWA kuna PANYABUKU. Panya hili hutafuna kila kitu.
Siku hizi mumetupa nguo zenu za zamani kuficha aibu ya mafuriko mumekuja na nguo mpya lakini ni wale wale. Njooni na za zamani
 
Badilisha hiyo id haraka, haiendani na huu ujinga ulioandika hapa.
Nachelea kusema kua bado hujaamka, na wala hutaki kuamka.
Multiple id's za Lumumba hizi baada ya tsunami wamekuja kivingine kutetea uovu wa miaka zaidi ya hamsini
 
Jina lako halifanani na comments zako. Lazima tuwe na serikali zinazobadilika ndo na maendeleo tutayaona.(mawazo mapya)
 
Siku hizi mumetupa nguo zenu za zamani kuficha aibu ya mafuriko mumekuja na nguo mpya lakini ni wale wale. Njooni na za zamani
Aliyetupa nguo za zamani ni Lowassa. Kajificha kwenye magwanda na hayawezi ameishia kuvaa nguo za blue. Miezi mitatu ijayo atawaomba radhi CCM. Hatuna sababu ya kumwamini. Ninamsubiri Lowassa kama ataweza kurusha kombora hata moja kwa serikali kama hataishia kuzungumzia ILANI. CCM wanamjua na watamvua shati lake huyu.
 
Back
Top Bottom