Lowasa kapewa "charm offensive" kaingia mzimamzima!
Najiuliza, kwa nini mtu aandamane ili kina Lowasa wapate nafasi ya kufanya mikutano, wakati Lowasa mwenyewe ana rub shoulders kwa bashasha tele na hao wanaominya demokrasia?
Sasa kama anaweza kukutana nao na kuzungumza nao, si akawaambie mwenyewe kuhusu haki ya mikutano badala ya kututaka sisi tuingie mabarabarani?
Hii kauli ni ukweli mtupu Mkuu, na ipo mifano chungu nzima ya kudhibitisha hii kauli yako.
Lowassa kakosea but why now
Lowasa ni mtu wa maswala na maswala hayafanyikii chumbani kwa siri bali front kwenye wadau mbalimbali.
Amekutana na wadau wa siasa kwenye shuhuli ya kijamii aliyoalikwa kwa tiketi ya waziri mkuu aliyehudumu taifa kwa kipindi flani.
Kushinda nje ya gereza alilofungwa Lema sio solution ya matatizo, matatizo yanashuhulikiwa kwa maongezi yanayifanyika kwenye vikao rasmi na visivyo rasmi.
Mngemkuta Lowasa Serena hotel ana kikao na Mkapa na Magufuli si mngemtukana matusi ya kila aina?
Sasa katokea hadhari kwenye shuhuli ya kijamii na kujadili jambo na watesi wake sioni kesi hapo.
Hakukosea, Wale walialikwa Kimkakati, Unafikiri aliyetuma Mwaliko kwa Lowassa, Salim, Magufuli etc alifanya Hivyo kwa Bahati mbaya? Lowassa amealikwa kwa ajili ya Hatua za Mwanzo za Kutafuta Usuluhishi na Amani ya Nchi
kitendo alichokifanya lowasa kuonyesha bashasha na watu wanaokamata wabunge wa chama chako Lema yupo ndani,mwalimu kakamatwa,lisu anakesi kibao,sugu alikamatwa unaipataje furaha ya kuhag na kinana,kujichekesha mbele ya raisi. even president alishangaa yote ninayowafanyia lakini hajastuka is a miracle.
Lowasa aangaliwe asije akawa usalama akatuchora tu kumbe anadisplay upande wa pili,tahadhari muhmu kwa kuzingatia aliyoyafanya bwana Augustine mrema
watu tunajiandaa na Ukuta wewe unajichekesha na wstu ambao tarehe moja huenda wakatuvunja viuno km si kutufunga bila kesi
lowasa katika mazingira haya smile kwa kinana na magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#

What fish? I smell smelf aka Old SpiceI smell fishy
Alisema wamegraduate sasa wao sijui wamesup au wanaresit paperHa ha ha.
Mshamwona Lowassa msaliti.
Raiti angesikia ushauri au kushtuka wakati yule babu katibu anatukanwa matusi....ndo basi tena.
Tulia kamanda.
Mlisema "Ulipo Tupo" basi akitabasam mnatabasam..akimkumbatia Kinana ndo hivyo tena.
Kwanza mzee wa watu ashawaambia hataki maandano na harakati nyie mnamlazimisha tu....kwa nini lakini?
Ha ha ha
I smell Gucci PucciI smell rat
Si ni Rais wa mioyo ya wanachadema huyo or? Zungusha,zungusha,zungusha!kitendo alichokifanya lowasa kuonyesha bashasha na watu wanaokamata wabunge wa chama chako Lema yupo ndani,mwalimu kakamatwa,lisu anakesi kibao,sugu alikamatwa unaipataje furaha ya kuhag na kinana,kujichekesha mbele ya raisi. even president alishangaa yote ninayowafanyia lakini hajastuka is a miracle.
Lowasa aangaliwe asije akawa usalama akatuchora tu kumbe anadisplay upande wa pili,tahadhari muhmu kwa kuzingatia aliyoyafanya bwana Augustine mrema
watu tunajiandaa na Ukuta wewe unajichekesha na wstu ambao tarehe moja huenda wakatuvunja viuno km si kutufunga bila kesi
lowasa katika mazingira haya smile kwa kinana na magufuli inatoka wapi, it raises more doubt. tusije kusacrife for nothing "km unatraitor#
you have hit the nail on the head!umegonga mulemule!Inabidi wampe "charm offensive" mtu wanayemwita fisadi mkuu na kudai kuondoka kwake kumehamishia "choo" upande wa mahasimu wao? Bila shaka muda si mrefu tutajua uzito wa kete anayocheza Lowassa. Kama haitakuwa na manufaa kwa CHADEMA nahisi itakuwa kwake binafsi kuwazima wanaomsema ovyo ilhali "akiwazukia" ana kwa ana wanaishia kumtolea tabasamu tu huku mkulu mwenyewe akiuona "muujiza" wa kupata fursa ya kuushika mkono wa Lowassa!
ahahahahaAlisema wamegraduate sasa wao sijui wamesup au wanaresit paper
Lowasa the Don!Political maturity huonyeshwa na watu wazima.
Uzuri mmoja yeye sio muongeaji ila CCM wanajua hii ni move moja hatari kwao ndiyomaana wameweka propaganda machinery ila Magufuli kawa kinyume chao baada ya kukiri jukwaani kuwa amepata baraka kushikana mkono na Lowasa.
Mleta uzi wewe ulitaka kama kaalikwa asiende; na kama akienda asisalimiane na watu kisa ni wa chama chake cha zamani? Kumbe hufahamu kuwa lile tukio lilipangwa vizuri ili kukutanisha "mahassimu" ili kuona kama amani itadumishwa ifikapo sept mosi?
Hivi kweli kuna madhara gani mahasimu kukutana na kusalimiana kwa furaha na bashasha hata kama kuna machungu mioyoni?
Hebu tumuige mzee wetu EL na sisi tuwe tayari kwa maandamani na mikutano ya UKUTA ifikapo sept mosi.
Mbowe, Lisu na Msigwa bado watoto wachanga kisiasa.Political maturity huonyeshwa na watu wazima...
Wajinga ndio waliwao