Lowassa kakosea, why now?

Ha ha ha.
Mshamwona Lowassa msaliti.
Raiti angesikia ushauri au kushtuka wakati yule babu katibu anatukanwa matusi....ndo basi tena.
Tulia kamanda.
Mlisema "Ulipo Tupo" basi akitabasam mnatabasam..akimkumbatia Kinana ndo hivyo tena.
Kwanza mzee wa watu ashawaambia hataki maandano na harakati nyie mnamlazimisha tu....kwa nini lakini?

Ha ha ha
 
Acha longolongo, wewe nenda tu kaandamane hiyo tarehe mosi. Tafadhali usibadili msimamo kamanda.
 
Lowasa ni mtu wa maswala na maswala hayafanyikii chumbani kwa siri bali front kwenye wadau mbalimbali.
Amekutana na wadau wa siasa kwenye shuhuli ya kijamii aliyoalikwa kwa tiketi ya waziri mkuu aliyehudumu taifa kwa kipindi flani.
Kushinda nje ya gereza alilofungwa Lema sio solution ya matatizo, matatizo yanashuhulikiwa kwa maongezi yanayifanyika kwenye vikao rasmi na visivyo rasmi.
Mngemkuta Lowasa Serena hotel ana kikao na Mkapa na Magufuli si mngemtukana matusi ya kila aina?
Sasa katokea hadhari kwenye shuhuli ya kijamii na kujadili jambo na watesi wake sioni kesi hapo.
 
Mkuu hujielewi ngoja siku nyoka aingie sebuleni kwako halaf ukae kwenye kochi wakati mwanao anatambaa kuelekea nyoka alipo ndio utaelewa nyoka anauwawa au anachekewa
 
Mkuu hujielewi ngoja siku nyoka aingie sebuleni kwako halaf ukae kwenye kochi wakati mwanao anatambaa kuelekea nyoka alipo ndio utaelewa nyoka anauwawa au anachekewa
Ohoooo...mshamwona Lowassa joka kuu?
Nyie 4UM na Ulipo Tupo mbona mnahatari sana?
 
Siasa sio uadui kk
 
Kaisaliti chadema, kwani tumejiwekea tamaduni za kususia shughuli za ccm. Iweje lowasa ajipeleke kwenye shughuli ya mkapa?!!!!. Kama si lowasa kuwa mnafiki basis chadema wanafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…