Lowassa kakosea? Hapana, tujikumbushe ushauri huu

Tunashukuru sana Ana mgwira kwa kumuwezesha zzk kupata ubunge
 
Kukaa kimya kwa Mnyika kunawatesa sana CHADEMA. Hakika hafurahishwi na kitendo cha chama kuhodhiwa na mafisadi
Bulembo leo kamaliza kila kitu,umekimbia uzi unao anika madhaifu yenu ndani ya ccm tena kutoka kwa bosi wenu bulembo?wacha uoga kijana huo ndio mwisho wa ccm
 
Awe jasiri kama Zitto?
Ama kweli Zitto siku hizi amekumbukwa na kupigiwa mfano[emoji87]
Anyway, hakuna harakati full stop.
Lowassa alishasema na Mbowe kasisitiza inabidi kuwa wapole tu.
 
Alaaaa kumbeee!
Naona Lizabon umeshamaliza pesa za Udalali wa Lipumba kuibomoa CUF sasa unasuka Dili ili Mnyika ashikishwe chake ashike njia za Slaa na yeye aende Canada uchaguzi urudiwe kule kibamba .
 
Halafu yuko wapi yule gwiji aliyeivishwa na UVCCM Bw Emmanuel Nchimbi nyie wana Lumumba? Ajitokeze kabla ya Mnyika basi!
 
Nnyika kachukua advance ya madalali wa siasa akina Lizabon na wenzao yupo anatafakari jinsi ya kukimbia kijanja pasipo kushitukiwa , njaa inamtesa ukimya wake ni Aibu kubwa baada ya kuchukua pesa akijiandaa kutoroka kwenda Kwa Slaa ambapo atakuta balance iliyosalia , Mnyika sasa anaangalia ahadi ya pesa alizoahidiwa hana upinzani Rohoni kabakia picha tu.
 
Kiimya kingi kina mshindo, lisemwalo lipo na Kama halipo linakuja , Mnyika kinachomsumbua Rohoni ni Kwa kuwa keshachukua advance ya madalali wa siasa akina Lizabon Wazee wake Yaani Membe na January , anatafuta jinsi ya kufanya maana Ubunge unaupenda na pesa kazipenda zaidi licha ya kuwa ni haramu maani nyingi ni za marehemu Gadafi toka kwenye handaki nyumbani Kwa Membe .kwa sasa inabidi Mnyika alazimishwe kuongea Kwa nguvu akigoma wananchi wamchukulie Hatua za kinidhamu .
 
mnajaribu kufukia shimo lililochimbwa na bulembo kwa kutumia viganja!???????lizaboni umekimbia Uzi leo .aibu aibu !!!!!!ptuuuuuuu
 
Saf sana
 
Unajua maana ya mageuzi au mabadiliko?
 
Unaushahidi usio na shaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…