Hakuna mzigo mzito chadema wameubeba kama huu wa ''Team Lowasa '' hawa washaamua nani ni mgombea tangu oct 29 2016 na hakuna wa kuwagusa. Hawa watu ni ''Lowasa kwanza chadema baadae'' ukitaka wakutukane waambie 2020 tutakuwa na mchakato wa ndani ya chama kumtafuta mgombea.
Hawa ni waajiriwa na wanatetea vibarua vyao.