Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,936
- 10,561
Kamwambie babu hatakuja
Kuwa rais wa nchi hii
Kuwa rais wa nchi hii
Lowasa ndiye mgombea wa Chadema na UKAWA mwaka 2020?Tulia dawa ikuingie mkuu, utampenda tu.
MBELE YA JPM HILO NI DONGO TU WALA SI JIWE CHOCHOTE. ENDELEA KUOTA NDOTO ZA MCHANA !Hutaki acha,huu ndio ukweli wenyewe!!!!
Ukweli ni kwamba mpaka sasa Lowassa sio fisadi na wala hana ubadhirifu wowote.Aliitwa fisadi lakini mpaka leo pamoja na uwepo wa mahakama ya mafisadi hajawahi kuitwa,kukamatwa na kuhojiwa mahali popote, sio TAKUKURU wala POLISI na hana shitaka lolote mahakamani juu ya uhujumu uchumi,matumizi mabaya ya madaraka wala kujilimbikizia ukwasi.
Alitengenezewa Zengwe na mahasimu wake wa kisiasa,wakamuundia tume iliyokua imebeba maslahi ya watu wachache na wakafikia maamuzi ya kumbebesha mzigo usiomhusu wala siokua na uhalisia wowote! Aliundiwa ushadihi wenye mkanganyiko na ubabaishaji ambao hata leo ushahidi huo umetiwa kapuni na hukutumika mahali popote kumtia hatiani.
Zilikua ni propaganda chafu za kisiasa ambazo mpaka kufikia hivi sasa zimeshindwa vibaya sana, hakuna ukweli wowote kuonesha au hata kuhisia kua Lowassa ni "FISADI".
2020 atawaambia watanzania kua " Nilifadhaishwa sana,lilidhalilishwa sana,nilionewa sana kwakua tu tatizo lilikua ni uwaziri mkuu" Watanzania amueni wenyewe na kisha toeni hukumu wenyewe.Kwahiyo kwa mwenye uelewa atakua amenielewa.
Mahitaji ya Mh Lowassa ni makubwa sana hivi sasa kwa wananchi, wanamhitaji kuliko hata ilivyokua awali na kama haki itatendeka kwenye uchaguzi mkuu 2020 endapo akisimamishwa na chama chake sidhani kama kuna mtu wa kushindana nae. In short ni kwamba Lowassa hana mshindani kwenye sasa za nchi hii endapo vyombo vya dola pamoja na wa tawala wakaacha taratibu na sheria zikatumika badala ya maekekezo.
Angalizo
Ni lazima kuwe na tume huru ya uchaguzi, haijalishi chama tawala hakipendi kulisikia hili lakini kwa namna yeyote ile ni lazima kuwe na mabadiliko kwenye tume ya taifa ya Uchaguzi.
Kusipokuwa na mabadiliko katika tumr ya uchaguzi asigombee kwa sab tumechoka kusikia ameibiwa kura au tume sio huru.Hutaki acha,huu ndio ukweli wenyewe!!!!

Ni kweli hakuna fisadi kama lowassaHakuna kama lowassa
Ni nani? Na amefanya nini? Mpaka hakuna kama yeye!Hakuna kama lowassa
Kula tano mwanangu.Hutaki acha,huu ndio ukweli wenyewe!!!!
Ukweli ni kwamba mpaka sasa Lowassa sio fisadi na wala hana ubadhirifu wowote.Aliitwa fisadi lakini mpaka leo pamoja na uwepo wa mahakama ya mafisadi hajawahi kuitwa,kukamatwa na kuhojiwa mahali popote, sio TAKUKURU wala POLISI na hana shitaka lolote mahakamani juu ya uhujumu uchumi,matumizi mabaya ya madaraka wala kujilimbikizia ukwasi.
Alitengenezewa Zengwe na mahasimu wake wa kisiasa,wakamuundia tume iliyokua imebeba maslahi ya watu wachache na wakafikia maamuzi ya kumbebesha mzigo usiomhusu wala siokua na uhalisia wowote! Aliundiwa ushadihi wenye mkanganyiko na ubabaishaji ambao hata leo ushahidi huo umetiwa kapuni na hukutumika mahali popote kumtia hatiani.
Zilikua ni propaganda chafu za kisiasa ambazo mpaka kufikia hivi sasa zimeshindwa vibaya sana, hakuna ukweli wowote kuonesha au hata kuhisia kua Lowassa ni "FISADI".
2020 atawaambia watanzania kua " Nilifadhaishwa sana,lilidhalilishwa sana,nilionewa sana kwakua tu tatizo lilikua ni uwaziri mkuu" Watanzania amueni wenyewe na kisha toeni hukumu wenyewe.Kwahiyo kwa mwenye uelewa atakua amenielewa.
Mahitaji ya Mh Lowassa ni makubwa sana hivi sasa kwa wananchi, wanamhitaji kuliko hata ilivyokua awali na kama haki itatendeka kwenye uchaguzi mkuu 2020 endapo akisimamishwa na chama chake sidhani kama kuna mtu wa kushindana nae. In short ni kwamba Lowassa hana mshindani kwenye sasa za nchi hii endapo vyombo vya dola pamoja na wa tawala wakaacha taratibu na sheria zikatumika badala ya maekekezo.
Angalizo
Ni lazima kuwe na tume huru ya uchaguzi, haijalishi chama tawala hakipendi kulisikia hili lakini kwa namna yeyote ile ni lazima kuwe na mabadiliko kwenye tume ya taifa ya Uchaguzi.
Ndiyohahahah kwa hiyo Lowasa ni mgombea wa UKAWA 2020 ?