Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Lowasa ni mgombea wa ukawa 2020 amepitishwa na vikao vya kamati ipi??Ndiyo
So what?
Ama kweli inahitaji unyumbu kushabikia chadema.
Lowasa ni mgombea wa ukawa 2020 amepitishwa na vikao vya kamati ipi??Ndiyo
So what?
Na nyie nani atakuwa mgombea wenu?Lowasa ni mgombea wa ukawa 2020 amepitishwa na vikao vya kamati ipi??
Ama kweli inahitaji unyumbu kushabikia chadema.
Ni nani? Na amefanya nini? Mpaka hakuna kama yeye!
Bora ata ungesema hakuna kama Mwl. Nyerere kwa sababu alipigania kuupata uhuru toka kwa wakoloni hapa angalau ambao shule ipo kichwani watakuelewa
Kwahiyo Lowassa Ashateuliwa Kuwa Mgombea Wa Ukawa 2020 ?
- Chadema - Chama Cha Demokrasia !!!!!
Ni kweli hakuna fisadi kama lowassa
Kwa hiyo kumbe kazi yenu chadema ni kuiga madudu ya ccm??Mbona ccm mgombea wenu magufuli 2020??wapi democracy??
Hakuna kama Lowassa kimuonekano ila kiutendaji hakuna kama Magufuri Africa nzima nadhani wewe mwenyewe huu mziki unauona. Pia hapo wameyaacha yale mambo ya nyuma ya ufisadi kuhofia usalama wa nchi maanake kila ukigusa ufisadi si chama hiki wala kile kote wametapakaa sasa ukigusa unategemea amani itakuwepo.Hakuna kama lowassa
Alishahukumiwa na tume inatosha kwa sasaMahakama ya ufisadi imekosa washtakiwa mbona sasa fisadi gani hakamatwi?!! Au fisadi kiwembe alieimbwa kwenye taarabu
EAlishahukumiwa na tume inatosha kwa sasa
Hakuna kama Lowassa kimuonekano ila kiutendaji hakuna kama Magufuri Africa nzima nadhani wewe mwenyewe huu mziki unauona. Pia hapo wameyaacha yale mambo ya nyuma ya ufisadi kuhofia usalama wa nchi maanake kila ukigusa ufisadi si chama hiki wala kile kote wametapakaa sasa ukigusa unategemea amani itakuwepo.
Tume yoyote inayoundwa na bunge kuchunguza jambo kisheria ina hadhi ya mahakama na tume ya maadili ya bunge pia ina hadhi ya mahakama isipokuwa haina jela tu kumbuka wabunge hupewa adhabu mbali mbali na tume hii na zinatimizwa kwa mujibu wa sheria. Nikirudi kwenye issue ya lowassa tume ilimkuta na hatia ya ufisadi ikampa adhabu yenye nafasi mbili ajiuzulu ama bunge limjadili na hatimaye lipige kura akachagua kujiuzulu kumbuka inaitwa adhabu kwa sab hakuamua bali alilazimishwa.E
Toka lini kazi za tume ni kuhukumu mkuu?
Dua la kuku hilo mizigo imeanza kurudi baada ya op maalum dawa zimeshafika na zinaanza kusambazwa na ajira idadi imeshatajwa na nafasi zinahitajiwa mwezi wa pili wanaajiriwa na sab ya kusitishwa ajira inajulikana ni uhakiki.Hakuna kweli alievurunda kama ngosha
Nashindwa ajiri hata walimu
Dawa hamna Hospitali hata panadol
Maji hamna kanunue ndege tetere aka pangaboi
Uchumi wa nchi hoi taabani
Wazungu wammnyima misaada
Democracy iko rehani
Viwanda&hoteli zimefungwa
Bandarini kumekauka mizigo
Hapo Giza tuuu kama hujui unakoenda huwezi kupotea..
Direction ya Zimbabwe na North Korea tunaelekea mpaka2017hadi mishahara watashindwa kulipa
Hivi nini maana ya neno uchumi ukinifafanulia nitakuelewesha huyu mtu anachokifanya.Hakuna kweli alievurunda kama ngosha
Nashindwa ajiri hata walimu
Dawa hamna Hospitali hata panadol
Maji hamna kanunue ndege tetere aka pangaboi
Uchumi wa nchi hoi taabani
Wazungu wammnyima misaada
Democracy iko rehani
Viwanda&hoteli zimefungwa
Bandarini kumekauka mizigo
Hapo Giza tuuu kama hujui unakoenda huwezi kupotea..
Direction ya Zimbabwe na North Korea tunaelekea mpaka2017hadi mishahara watashindwa kulipa
Baadhi yetu tuepukane kushikiwa akili, unajua walosema ED ni fisadi wanajulikana tena walitangaza hadharani na walizunguka Tz nzima wakitangaza ufisadi wa huyo bwana, na walisema ushahidi wanao wa kutosha kuhusu ufisadi wake, na wakamtaka ED aende mahakamani na ED pia hakwenda, baada ya ED kuhamia palipokuwa na ushahidi wa kutosha, palepale ushahidi ukayeyuka-ulitakiwa uwabane kwa nguvu walotangazia uma kuwa ushahidi upo tena wa kutosha. Au kwa kuwa2 tumezea kulalamika?
Hutaki acha,huu ndio ukweli wenyewe!!!!
Ukweli ni kwamba mpaka sasa Lowassa sio fisadi na wala hana ubadhirifu wowote.Aliitwa fisadi lakini mpaka leo pamoja na uwepo wa mahakama ya mafisadi hajawahi kuitwa,kukamatwa na kuhojiwa mahali popote, sio TAKUKURU wala POLISI na hana shitaka lolote mahakamani juu ya uhujumu uchumi,matumizi mabaya ya madaraka wala kujilimbikizia ukwasi.
Alitengenezewa Zengwe na mahasimu wake wa kisiasa,wakamuundia tume iliyokua imebeba maslahi ya watu wachache na wakafikia maamuzi ya kumbebesha mzigo usiomhusu wala siokua na uhalisia wowote! Aliundiwa ushadihi wenye mkanganyiko na ubabaishaji ambao hata leo ushahidi huo umetiwa kapuni na hukutumika mahali popote kumtia hatiani.
Zilikua ni propaganda chafu za kisiasa ambazo mpaka kufikia hivi sasa zimeshindwa vibaya sana, hakuna ukweli wowote kuonesha au hata kuhisia kua Lowassa ni "FISADI".
2020 atawaambia watanzania kua " Nilifadhaishwa sana,lilidhalilishwa sana,nilionewa sana kwakua tu tatizo lilikua ni uwaziri mkuu" Watanzania amueni wenyewe na kisha toeni hukumu wenyewe.Kwahiyo kwa mwenye uelewa atakua amenielewa.
Mahitaji ya Mh Lowassa ni makubwa sana hivi sasa kwa wananchi, wanamhitaji kuliko hata ilivyokua awali na kama haki itatendeka kwenye uchaguzi mkuu 2020 endapo akisimamishwa na chama chake sidhani kama kuna mtu wa kushindana nae. In short ni kwamba Lowassa hana mshindani kwenye sasa za nchi hii endapo vyombo vya dola pamoja na wa tawala wakaacha taratibu na sheria zikatumika badala ya maekekezo.
Angalizo
Ni lazima kuwe na tume huru ya uchaguzi, haijalishi chama tawala hakipendi kulisikia hili lakini kwa namna yeyote ile ni lazima kuwe na mabadiliko kwenye tume ya taifa ya Uchaguzi.