Heshima mbele wadau na kheri ya mwaka mpya.
It still fascinates me today how Lowassa remains to be the center of attention in the country, even after two years of absence in the government.
Kinachotusumbua, tulimuonea, plain and simple. Wametumwa watu wzunguke nchi mzima na media ya ndugu yetu mzee mengi inatumika at all costs kumtumia dis-credit jamaa, lakini whenever he appears, people are moved, because they know deep down in their hearts what he fought for wakati anahangaika na maziara vijijini kuzunguka nchi nzima, lugha za sisi wa kwenye vijiwe vya mjini ni vigumu kwa mtanzania wa ukweli kuelewa.
Hizi picha zilifuatana na ile thread iliyosema Lowassa yupo ICU Lugalo, na wengine wakashangilia humu ndani, badala ya kusifia mtu anatimiza wajibu wake kama Mbunge wa Monduli, wachache hapa wanabeza, na kinachowasumbua ni nini?? Wale waliowatuma wanaogopa madhambi yao, mwisho wa siku yote ni mipango ya Mungu, tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja, LOWASSA aluta continua.
.. Kinaowauma, wasage chupa, wanywe.
Nilishwahi kusema huko nyuma, nipo tayari tutengeneze jedwali la mafanikio ya Lowassa nchi nzima na hawa wanasiasa wengine hawa (mnawajua), ndiyo tutaelewa nini kinawasumbua. Huwezi kumnyang'anya alichopigania kwa nchi yake, yeye yupo nje ya serikali, na nyie watumikieni wananchi basi, lakini ndiyo hao hao wanashinda hapa JF kutafuta maneno ya kumtukana Lowassa na wanajiita wazalendo, SHAME ON YOU.