Lowassa, hili nalo limepita, what's next?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Tangu kushindwa vibaya kwenye uchaguzi Mkuu uliopita fisadi Lowassa amekuwa akihaha huku na kule kutafuta kick ya kubakia relevant kwenye siasa za Kitanzania!

Alianzia na kuibiwa kura kwamba ana ushahidi, siku zimekwenda hakuna chochote, ikaja anasubiri atatoa TAMKO ambalo litaitingisha nchi kwa kuamrisha wafuasi wake kuingia br. na kuleta fujo, siku zikaenda hilo likaisha!

Ikaja Kifo cha Mawazo kilichotokea huko Mkoani Mara wakauweka mwili wa Marehemu kwa kuwahonga wafiwa milioni kadhaa ambazo walihakikisha zinatangazwa na vyombo vya habari ili wakubali mwili wa ndugu yao usizikwe mpaka siku ambapo fisadi Lowasa atakapopata muda wa kupata kick ktk kwenye vyombo vya habari na kama kawaida yake akautumia muda vizuri akatoa wiki mbili kwa Serikali (of course kwenye vyombo vya habari) yetu iwe imeshawakamata na kuwashughulikia waliomuua Mawazo la sivyo serikali itamjua yeye ni nani wiki mbili zikapita na sasa mwezi hakuna lolote!

Wakati mwingine ukawadia wa Kampeni za Ubunge Arusha hapo tena akapata nafasi ya kuongea akasema ataanza safari ya kutembelea TanZania nzima kuwashukuru waliompigia kura mpaka leo hii kimya hakuna cha safari wala baba yake safari!

Baada ya hapo sasa hivi ktk hatua yake ya kujaribu kubakia relevant hapa nchini mwetu sasa hivi tena kaja kivingine ametafuta maaskofu huko Kongo kupitia rafiki yake Gwajima na vijikanisa vyao kwamba eti wamemtunuku Tuzo la Amani kwamba yeye ndiye aliyeiepusha nchi isiingie kwenye machafuko na kwamba yeye fisadi Lowasa ndiyo mwenye dhamana na Amani ya nchi yetu kana kwamba hata ana huwo uwezo wa kuifanya TanZania ichafuke!

Sasa namuuliza fisadi Lowasa what is next? kwa maana hili la tuzo nalo pia limepita lkn WatanZania wala hatuna mpango na wewe kwani tulishakugundua tangu siku ulipopigwa chini na CCM kwamba wewe ni mlaghai na uko kama mtoto mdogo ambaye siku zote hutafuta attention ya mzazi, utaona kama mzazi usipompa (mtoto) hiyo attention basi anaweza hata akachukua glasi akaitupa chini ili tu asikie utasema nini na hatimaye kumpa attention!
 
tayari umeshamrusha hewani bila ya wewe kujua, yaani ushampa kick
 
Yaani kwa kitendo chako cha kuanzisha hii Thread ujue kuwa ni tayari umemrudisha katika akili zetu. Ni ngumu kama ilivyo kukata chuma cha reli kwa kisu, kwa Watanzani kuweza kusahau LOWASA / UKAWA.

Mitaani watoto katika michezo yao ya kuruka kamba wanacheka huku wanaimba nyimbo za UKAWA na LOWASA.

Na CCM mnakosa usingizi kwa ajili ya jina hili UKAWA / LOWASA maisha yenu yote. Ni kama wewe ulivyokumbuka leo tunajua hata wewe ni ngumu kumsahau.

Mkuu kumbuka kuna watanzania zaidi ya milion sita walimpgia kura, huwez kupuuza mchango wake kwenye siasa za nchii.Mh Rais kwenye hotuba yake alikataza vijembe kama hivi.
 
Back
Top Bottom