Usisumbuke na watoto wa kiume waliojichubua na kutoboa masikio. Hata Mungu mwenyewe amewasusa na kuwaacha wajiongoze wenyewe. Nchi hii haitajengwa na FIESTA, tunahitaji vichwa vinavyowaza MIRADI na sio MASHAIRI
Magufuli tu hapo ndio amekidhi viwango vya kuwa BODYGUARD wa RAIS wa awamu ya tano wa jamuhuri ya muungano wa tz Hon Edo Lowassa. Hao wengine wakaombe kazi kwenye night clubs teh teh
VIVA UKAWA!!!
Magufuli tu hapo ndio amekidhi viwango vya kuwa BODYGUARD wa RAIS wa awamu ya tano wa jamuhuri ya muungano wa tz Hon Edo Lowassa. Hao wengine wakaombe kazi kwenye night clubs teh teh
VIVA UKAWA!!!
Habari ya mujini na MAGUFULIKA. Huu ujumbe unaiteka anga ya Siasa Tanzania. Yaani CCM sasa ni mwendo mdundo na Mh. Magufuli sasa anasubiri kuapishwa tu.