Lowassa: Hatutakubali Matokeo ikiwa...

Lowassa: Hatutakubali Matokeo ikiwa...

Hali tete siasa hizi leo hii Lowassa naye anataka uchaguzi huru zamani wakati CCM wanashinda ulikuwa unasema uchaguzi ulikuwa huru leo baada ya kuona utaangukia pua anaanza sababu kama Dr.Slaa enzi zake.
 
Heshima ipo tu daima.# hapa ni kazi tu.

Boya ni boya tu, na wafuasi wa boya ni maboya tu.... 80% ya Watz ni wagonjwa, uanze msako Mtu kwa mtu tupime afya, hamna atakaye salimika.. Kama kujua kupiga push up ndio sifa ya uongozi Nyerere hakustahili..

Elewa kauli yake, Kama kutakua na uchaguzi ulio haki na huru, atayakubali matokeo.(kushindwa na kushinda) Wapi Magufuli amewahi kusema Atakibali Matokeo? CCM haina wazo la kushindwa.. Hapo ndipo shida ipo
 
This is silly!.. alisema ni lini Uchaguzi haujawahi kuwa Huru na wa haki? Mbona hatujawahi kumsikia akiungana na wapinzani walipopiga kelele ya kukosekana uhuru na haki kwenye chaguzi mbalimbali; au anafikiri tumesahau yaliyotaka kutokea Arumeru Mashariki?

Ndo amekuwa mpinzani, ndio ameungana nao kwenye mbio za kwenda Ikulu.

Maisha hayana formula.
 
Alikubali kuingia upinzani ilihali akijua Tume ya uchaguzi si huru.....anategemea nini?

Miaka yote amekaa bungeni bila kushinikiza suala hili la haki katika nyanja zote au alikua hajui ipo siku atakuja kuhitaji haki?

Lowasa is great manipulator..... Wenye kufikiri hatupi shida....
 
Atwambie kwanza.... Je huko nyuma kuliwahi kufanyika uchaguzi huru?

Kama chaguzi za nyuma zilikuwa huru, basi na huu utakua huru, ila kama ulikuwa na makandokando basi na huu utakua na makandokando
 
This is silly!.. alisema ni lini Uchaguzi haujawahi kuwa Huru na wa haki? Mbona hatujawahi kumsikia akiungana na wapinzani walipopiga kelele ya kukosekana uhuru na haki kwenye chaguzi mbalimbali; au anafikiri tumesahau yaliyotaka kutokea Arumeru Mashariki?

Nimeamini sasa kuwa wewe sio kama vile unavyotaka kuwaaminisha watu kuwa ni mtu unaye simamia hoja na sio ushabiki. Acha chuki zako za dhahiri kwa ajili ya rafiki yako mkiye mrubuni wewe na mkewe. Lowasa yule wa CCM sasa hivi sio yeye tena kwani amebadili upande na hata itikadi. Ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya.
Lowasa kesha kiri kuwa CCM aliyokuwepo kulikuwa na umahiri mkubwa wa kuiba kura, sasa unataka leo kumhukumu kwa yale aliyokuwa akishirika akiwa kule? Naona ule uwezo wako unapotea sasa kwa kujivua uwezo wa kufikiri kwa ajili ya chuki, na kumbuka chuki hupofusha wenye hekima.
Hili la kutokubali matokeo kama yatakuwa yamechakachuliwa sio la Lowasa kama yeye pekee bali ni la wale wote waliodhulumiwa kura zao, na ni muhimu Tume ikaliona hilo kwani hata Lowasa akisema tu tumeibiwa kura zetu kwa ushahidi huu lakini mie namwachia Mungu, sidhani kama hali ya nchi itakuwa salama kwa hao walioporwa kura zao. Tuliogope hilo kwa maslahi na usalama wa nchi yetu na viongozi waliopo. Nchi iliyozoea amani ikichafuka inachafuka kwelikweli.
 
Alikubali kuingia upinzani ilihali akijua Tume ya uchaguzi si huru.....anategemea nini?

Miaka yote amekaa bungeni bila kushinikiza suala hili la haki katika nyanja zote au alikua hajui ipo siku atakuja kuhitaji haki?

Lowasa is great manipulator..... Wenye kufikiri hatupi shida....

Mkristo akisilimu na kulaani kitimoto utamhoji kuwa kwa nini zamani ulikuwa unakula na hukusema hayo?
 
Ni kweli,unapoona fisadi kama Lowassa eti naye anapata ujasiri wa kugombea urais unabaki kujiuliza hivi wametuona wajinga kiasi hicho?anaenda kupata kipigo kikali tarehe 25/10.

Wewe ni mburula.. Kuichagua CCM no ujinga kuliko ujinga wowote ulimwenguni.. Hapo ulipo una sababu ngapi za kutabasamu mbele ya CCM?
 
Kwan atakuwa wa kwanza kukataa. Hata Dr Slaa alikataa na akasema hamtambui rais lakin nchi iliendelea. Kwa EL hizo no dalili mbaya kama za mgonjwa anaejiona hali mbaya sasa anaanza kuniuliza hivi ntakufa. Yy kakubali kuingia mchezon akubali kushindwa pia.
Kushindwa kihalali siyo tatizo kinyume chake ni kucheza na amani.
 
Lowassa mgombea urais CHADEMA amepiga mkwara kuwa CHADEMA hatutakubali matokeo ya Uchaguzi,ikiwa hakutakuwa na mazingira ya uchaguzi huru na haki.

Kamanda Lowasa akiwa anajiamini kushinda amesema kuwa kama uchaguzi huru na haki hawana budi kukubali matokeo.Bali kama kuna goli la mkono hawawezi kukubali.CCM hakuna mteremko mwaka huu.

Chanzo: Mwananchi

atakubali tu,usihofu
 
Kwan atakuwa wa kwanza kukataa. Hata Dr Slaa alikataa na akasema hamtambui rais lakin nchi iliendelea. Kwa EL hizo no dalili mbaya kama za mgonjwa anaejiona hali mbaya sasa anaanza kuniuliza hivi ntakufa. Yy kakubali kuingia mchezon akubali kushindwa pia.
Kuna tofauti kubwa KIMSIMAMO kati ya Dr slaa na Lowasa.LOWASA NI NEXT LEVEL Dr slaa anaendeshwa hadi na mkewe! NI SHIDA KWA KWELI!
 
Atwambie kwanza.... Je huko nyuma kuliwahi kufanyika uchaguzi huru?

Kama chaguzi za nyuma zilikuwa huru, basi na huu utakua huru, ila kama ulikuwa na makandokando basi na huu utakua na makandokando

Muulize Magufuli, nani aliua viwanda anavyojitapa kuvifufua? Nani aliua Reli? Nani ameuza kiwanda cha Karatasi Mgololo? Nani kafilisi ATC? ..Jk alibadili Baraza la Mawaziri mara4 ndani ya miaka 4.. Je,Alifanikiwa kufufua viwanda? Huduma za jamii, Afya, Barabara(nyingi ni mbovu ndani ya miaka 5 zimeharibika), usimamizi mbovu wa Nani? Nipe majibu usilete porojo na matusi
 
nimeamini sasa kuwa wewe sio kama vile unavyotaka kuwaaminisha watu kuwa ni mtu unaye simamia hoja na sio ushabiki. Acha chuki zako za dhahiri kwa ajili ya rafiki yako mkiye mrubuni wewe na mkewe. Lowasa yule wa ccm sasa hivi sio yeye tena kwani amebadili upande na hata itikadi. Ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya.
Lowasa kesha kiri kuwa ccm aliyokuwepo kulikuwa na umahiri mkubwa wa kuiba kura, sasa unataka leo kumhukumu kwa yale aliyokuwa akishirika akiwa kule? Naona ule uwezo wako unapotea sasa kwa kujivua uwezo wa kufikiri kwa ajili ya chuki, na kumbuka chuki hupofusha wenye hekima.
Hili la kutokubali matokeo kama yatakuwa yamechakachuliwa sio la lowasa kama yeye pekee bali ni la wale wote waliodhulumiwa kura zao, na ni muhimu tume ikaliona hilo kwani hata lowasa akisema tu tumeibiwa kura zetu kwa ushahidi huu lakini mie namwachia mungu, sidhani kama hali ya nchi itakuwa salama kwa hao walioporwa kura zao. Tuliogope hilo kwa maslahi na usalama wa nchi yetu na viongozi waliopo. Nchi iliyozoea amani ikichafuka inachafuka kwelikweli.
makavu live
 
This is silly!.. alisema ni lini Uchaguzi haujawahi kuwa Huru na wa haki? Mbona hatujawahi kumsikia akiungana na wapinzani walipopiga kelele ya kukosekana uhuru na haki kwenye chaguzi mbalimbali; au anafikiri tumesahau yaliyotaka kutokea Arumeru Mashariki?

Wewe umeshapewa mgao na Dr. Mihogo tulia wapenda mabadiliko wapambane
 
Boya ni boya tu, na wafuasi wa boya ni maboya tu.... 80% ya Watz ni wagonjwa, uanze msako Mtu kwa mtu tupime afya, hamna atakaye salimika.. Kama kujua kupiga push up ndio sifa ya uongozi Nyerere hakustahili..

Elewa kauli yake, Kama kutakua na uchaguzi ulio haki na huru, atayakubali matokeo.(kushindwa na kushinda) Wapi Magufuli amewahi kusema Atakibali Matokeo? CCM haina wazo la kushindwa.. Hapo ndipo shida ipo

Mtanzania anae tusi wenzake 'boya', sababu ya lowasa anakurupuka na hana direction na formation nzuri katika maisha yake. Unawaza lowasa, wewe ni mrundi. Tunaitaji mabadiliko ila sio Lowasa. Angekuwa mwingine sawa. Subilini mziki wa CCM kwani tamaa ziliwatawala. Tuliwapenda ila lowasa Big no. Mtakalia matusi ndio yenu.
 
Asituletee ujinga wake akapigane na mafisadi wenzake siyo kutuletea huu ujinga kwenye taifa letu.
 
Mkristo akisilimu na kulaani kitimoto utamhoji kuwa kwa nini zamani ulikuwa unakula na hukusema hayo?

Haya ndiyo tunayoyataka, "Chakaza" na unachakaza kweli. Hivi watu wanafikiri Osama alizaliwa gaidi?? Hapana maisha yanabadilika.
 
Back
Top Bottom