Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Urais hapati na akileta fyoko anakula bakora, labla akawe rais wa wachunga ng'ombe.
Nyie ccm mkileta fyoko tunawabaka
Urais hapati na akileta fyoko anakula bakora, labla akawe rais wa wachunga ng'ombe.
This is silly!.. alisema ni lini Uchaguzi haujawahi kuwa Huru na wa haki? Mbona hatujawahi kumsikia akiungana na wapinzani walipopiga kelele ya kukosekana uhuru na haki kwenye chaguzi mbalimbali; au anafikiri tumesahau yaliyotaka kutokea Arumeru Mashariki?
Mh.Lowasa mgombea urais Chadema amepiga mkwara kuwa Chadema hatutakubali matokeo ya Uchaguzi,ikiwa hakutakuwa na mazingira ya uchaguzi huru na haki.Kamanda Lowasa akiwa anajiamini kushinda amesema kuwa kama uchaguzi huru na haki hawana budi kukubali matokeo.Bali kama kuna goli la mkono hawawezi kukubali...CCM hakuna mteremko mwaka huu.Source:Mwananchi

mzee unapenda sana kutoa masharti utadhani we ndo mgawa ridhiki za watuThis is silly!.. alisema ni lini Uchaguzi haujawahi kuwa Huru na wa haki? Mbona hatujawahi kumsikia akiungana na wapinzani walipopiga kelele ya kukosekana uhuru na haki kwenye chaguzi mbalimbali; au anafikiri tumesahau yaliyotaka kutokea Arumeru Mashariki?
Mh.Lowasa mgombea urais Chadema amepiga mkwara kuwa Chadema hatutakubali matokeo ya Uchaguzi,ikiwa hakutakuwa na mazingira ya uchaguzi huru na haki.Kamanda Lowasa akiwa anajiamini kushinda amesema kuwa kama uchaguzi huru na haki hawana budi kukubali matokeo.Bali kama kuna goli la mkono hawawezi kukubali...CCM hakuna mteremko mwaka huu.Source:Mwananchi
Mh.Lowasa mgombea urais Chadema amepiga mkwara kuwa Chadema hatutakubali matokeo ya Uchaguzi,ikiwa hakutakuwa na mazingira ya uchaguzi huru na haki.Kamanda Lowasa akiwa anajiamini kushinda amesema kuwa kama uchaguzi huru na haki hawana budi kukubali matokeo.Bali kama kuna goli la mkono hawawezi kukubali...CCM hakuna mteremko mwaka huu.Source:Mwananchi
Ila kuna watanzania mazezeta yani hawa ccm wanavyotuibia mihela mikibao alafu wanasema Et ni hela ya mboga, alafu et mtu anashangilia na kuwapa kura dah!
Kwa Tume Hii ya Uchaguzi Jinsi wanavyoenda...Wabavyotaka Matokeo yakubaliwe Kwa Njia yoyote Ile..Machafuko Makubwa Hayaepukiki.
CCM Wasifanye UjanjaUjanja Vinginevyo..time will tell.
CCM Wakijidanganya Kupora Ushindi basi UKAWA Watanzania tupo Nyuma yetu. Tumeichoka CCM.
Tujiandae kufa kwa huduma mbovu za afya nchini endapo ccm itarudi
Mpaka nakosa ufahari wa kujiita mtanzania
hivi hili lindondocha linadhani litashinda?
Watanzania tumewachoka mafisadi ambao kwenye uchaguzi huu wapo nyuma ya Lowassa.
Tunataka mabadiliko bora yatakayoletwa na Magufuli.