GREAT THINKERS,
I have been RELIABLY informed nammoja wa watu walio ndani kabisa ya TEAM LOWASSA kwamba Mh. EDWARD NGOYAI LOWASA aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye alisifika kwa uchapa kazi na utendajibora wa kazi ulioambatana na utoaji wa maamuzi magumu mara moja na bila kusitana hivyo kujitofautisha na 99% ya Viongozi wa Tanzania ambao wengi wao kazi yaoni kulialia, kuchekacheka na kuwa waoga wa kutoa maamuzi magumu, muda wowote atatangaza kujitoa kwenye kinyanganyiro cha kuelekea Magogoni.
Hii ni kutokanana Kikao cha watu wa ndani kabisa wa TEAM LOWASA ambacho kilikaa mjini Idodomia na kutafakari kwa kina hatma ya mgombea huyo katika Safari yake ya matumaini.Sababu zilizopelekeaTEAM LOWASA kufikiauamuzi huo mgumu ni hizi zifuatazo:
TEAM LOWASA inaamini NEC haitakuwa kikwazo kwake na hata Mkutano Mkuu nako hakutakuwa na tatizo kwani 85% ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu ni NJAAKALI. Tatizo kubwa kwa LOWASA ni CC. Hii CC mpya ina wajumbe wapya walioshinda ambao imebainika wengi wao hawampendi kabisa LOWASA mfano akina Jerry Slaa etc na wamekuwa wakielezea hivyo hadharani bila woga wala kumungunya maneno.
Aidha, kana kwamba hiyo haitoshi, Wajumbe wengine wengi wa CC ambao waliteuliwa na Mwenyekiti wa CCM Mh JK nao pia ni ANTI-LOWASA. Juhudi za chinichini zakuwaweka sawa wajumbe hao hadi sasa zimekwama. Ni kutokana na hali hii, TEAMLOWASA imeoana kwamba kupenya kwenye CC itakuwa kazi kubwa mno
2. KIGINGI CHA SECRETARIAT YA MAADILI
TEAM LOWASA inaamini kwamba 98%ya Wajumbe wa Secretariat ya Maadili ya CCM imejaa wajumbe ambao ni ANTI-LOWASA. TEAM LOWASA inaamini hata kufungiwa kwa wale waTanzania walioonyesha nia ya kutaka Urais ni danganya toto kwani mlengwa alikuwa ni LOWASA kutokana na michango yake lukuki aliyokuwa akiitoa kwa jamii na kasi ya kimbunga aliyokuwa akienda nayo iliyokuwa ikiwatimulia vumbi vibaya sana wagombea wengine.
Inaaminika LOWASA angepewa adhabu yeye peke yake ingeonekana SECRETARIAT wako biased hivyo ikaamuliwa wapewe adhabu wote ndio maana watu waliokuwa hawana hata kosa moja mfano Mh. Fredrick Sumaye walilalamikia sana adhabu hiyo.
3. FAILI LA LOWASA
TEAM LOWASSA inaamini kwamba faili la Lowasa litakuwa limechafuka sana kutokana na tuhuma mbalimbali ambazo zimeenezwa dhidi yake. Aidha, TEAM LOWASA imegundua kwamba mgombea wao anafuatiliwa kwa karibu na kuna watu wamepandikizwa kwenye team yao ambaohurekodi matukio yote machafu ya TEAM LOWASA kwa lengo la kuyapeleka Kamati yaMaadili ili watakapokuwa waoa marks kwa kila mgombe na kwa jina la LOWASA wawe na ushahidi wa kutosha ili kusiwe na malalamiko toka kundi la TEAM LOWASAwatakapomchinjia baharini.
Kutokana na jambo hili, wajumbe wa TEAM LOWASAwalizozana mno kwamba miongoni mwao kuna Mamluki na kukatokea na mtiti mkubwabaina yao.
4. MWALIMU NYERERE
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere bila kumungunya maneno aliasema wazi kwamba LOWASA kijana mdogo wa miaka 42 alikuwani FISADI hivyo hafai kabisa kuwa kiongozi. TEAM LOWASA inaona kwamba minutes za Kikao hicho cha Kamati Kuu bado zipo na upo uwezekano mkubwa zikatumiwa na CC kumngoa kama ilivyofanyika kwa Mh. John Malecela ambaye nae Mwalimu alisema hafai kuwa Kiongozi.
5. UGUMU WA KUUNGWA MKONO NA VIONGOZI WASTAAFU
TEAM LOWASA wamepata shida sanakuweza kuwavuta Viongozi wastaafu wa ngazi za juu wa CCM ili wawe upande wao kutokana na sifa ya Ufisadi ya mgombea wao, ingawa viongozi hao walisema LOWASA anaweza kugombea kama mwanachama yeyote wa CCM lakini hawakuonyesha kumuunga mkono kwa dhati kwa maana ya kuwa tayari kumfanyia kampeni. Viongozi haowanaona kwamba mtu kama LOWASA akiwa ndiye anaeibeba bendera ya CCM basi chamakitakuwa kama kinakubaliana na maovu ya LOWASA.
TEAM LOWASA inaona mgombea wao anaonewa tu kwa tuhuma za UFISADI ambazo hakuna mahakama iliyozithibitisha. TEAM LOWASA imeenda mbali zaidi na kusema iwapo CCM ilisema ANDREW CHENGE naeni FISADI mbona kapewa nafasi nyeti mfano CHENGE ni MWENYEKITI wa Kamati nyetiya Uchumi ya Bunge na pia ni MWENYEKITI wa Kamati nyeti ya Uandishi wa KATIBA mpya sasa iweje LOWASA nae asipewe madaraka?
6. AFYA YA LOWASA
TEAM LOWASA ililijadili jambohili kwa kina sana na kulikuwa na ubishanaji wa hali ya juu. Ilifikia mahali madaktari mbalimbali watoe expert opinion kuhusu afya ya LOWASA. Aidha, experts haowaliulizwa iwapo LOWASA angweza kuhimili mikikimikiki ya kuzunguka nchi nzima kutafuta kura na akifanikiwa kuvuka kikwazo hicho kama ataweza kuiongoza Tanzania hadi 2025.
Suala hili liliumiza mno vichwa vya TEAM LOWASA lakiniLOWASA mwenyewe aliwaambia kwamba yeye yuko Gado kama chuma cha pua.Baada ya kuyatafakali mambo yotehaya kwa kina sana, TEAM LOWASA ambayo ilkuwa imefika mbali sana katika kumuuzamgombea wao, kwa shingo upande ikamshauri aite waandishi wa habari ili atangaze kwamba yeye akuwemo kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Hata hivyo, LOWASA alieonekana kutofurahia uamuzi huo kutokana na muda na hela zote alizotumia hadi sasakuusaka Urais na hivyo aliwambia TEAM LOWASA kwamba ataenda kuongea na mkewe Mama Regina Lowasa na wanawe kisha atakutana na TEAM LOWASA.
HIVYO, GREAT THINKERS STAY TUNED!!!

- KIGINGI CHA KAMATI KUU (CC)