Lowassa: Harusi yageuka matanga

Lowassa: Harusi yageuka matanga

Kukatwa kwa Lowasa ni faraja ya watanzania wote kwa kunusurika na muendelezo wa kuibiwa mali zetu. Lakini si huyo tu fisadi peke yake, mbona wako wengi waliobaki? Tena idadi ni kubwa mno ukiacha ile waliotaja wapinzani pale Mwembe Yanga. Kuna mafisadi waliopewa pesa zilizorudishwa za Epa zikigawiwa na mmoja wa afisa aliyepewa Benki ya Kusimamia zoezi hilo akitokea benki kuu ambako nako alikuwa akiratibu EPA?

LOWASA kama unapata muda wa kupitia JF soma upime na mambo ambayo wengi tunakuomba ufanye: mwaga mboga ya CCM kwani wao wameisha mwaga ugali wako. Chagua upande mwingine wa kupambana nao kisiasa najua wataku 'pardon' kwa lolote unalotuhumiwa nalo kama utaamua kumwaga mboga ya CCM ili mkose woote. Itakuwaje wakutoe sadaka wakati lenu lilikuwa moja.

Lowasa asijidanganye kwamba atakuwa salama akibaki CCM, never. Watamwandama na si ajabu wakamburuza mahakamani kwa kesi ambazo hatoweza kujitetea. Aki - Cross border to kuja upande wa pili ambao atauona ni strong na kuongeza nguvu ya kuwapiga chini CCM yuko salama salimini. Akiendelea kukaa na hao watu ambao kwa sasa ni dhahiri wamepania kumsambaratisha kabisa atajutia kusitasita kwake.

JK ni legelege mno kwa wapambe wake na familia yake au niseme anawapenda mno kiasi kwamba wasemalo hapingi. Ni ukweli usiofichika na ni dhahiri kwamba Ritz1 amekuwa akimpiga vita Lowasa. Huyu dogo naye anajisahahu kwamba tutakuja kumuuliza wapi alikopata mtaji wa biashara alizokuwa nazo sasa.

Kama amekopa benki sawa, lakini dhamana ni nini? Isije ikawa serikali ndo dhamana na kama itakuwa hivyo hayo yatakuwa matumizi mabaya ya ofisi ya babake. Na kama ni kinyume basi atuoyeshe 'returns' za kodi............

LOWASA COME ON OUT WITH AUDACITY OF ACTION au kauli mbiu yako ya MAAMUZI MAGUMU ILIKUWA KUDANGANYA WATU? MAAMUZI YAKO MAGUMU YANAHITAJIKA SASA....
 
ha ha ha kumbe alikua hawajui? si huyo tu hata Rostam Mhindi sasa hatamtaka, ngoja uone ngoma itakavyoenda tuone kama sasa ataweza kutoa hela zake za maua kufuga watu, maana zile alizokua anahonga ni zile zetu walizoiba, ha ha hahha kweli mungu akiwa upande wetu hakuna atakayekua against us, thank you jesus walikudhihaki wakitembea kwenye nyumba zako wakizinajisi na pesa za wizi, hawakujui lile neno linalotuonya kuhusu vitu vitakatifu, walikimbilia kwaya washikaji wenyewe walinaowatumia hawajaiva ki hiyvo, kumbuka saga la Rostam la kanisa la kiluteri Kinondoni kwa kuisaidiwa na Mume wa Jojia, nakwambia na hiyo vodacom mrija wao kupitia Shivacom tutaona sasa kama bado watakuw wanatamba kwa hela za wizi. na bado mungu alisema atawaharibu adui zetu, na kusimama juu ya nchi, hawa mpaka wafe

rostam ni mu ajemi(iran)sio mhindi
 
Ovyo sana hawa mkuu. Walitaka kutupandikizia mtu wa ovyo ikulu.

Wakatafute kazi ingine ya kufanya. Waendekeza njaa wakubwa hao

Na watatafuta sana wachawi wkt wachawi ni wa wenyewe
 
4U Movement bona hawasikiki?
Au wameamua kupiga vita kimya kimya?
 
Kukatwa kwa Lowasa ni faraja ya watanzania wote kwa kunusurika na muendelezo wa kuibiwa mali zetu. Lakini si huyo tu fisadi peke yake, mbona wako wengi waliobaki? Tena idadi ni kubwa mno ukiacha ile waliotaja wapinzani pale Mwembe Yanga. Kuna mafisadi waliopewa pesa zilizorudishwa za Epa zikigawiwa na mmoja wa afisa aliyepewa Benki ya Kusimamia zoezi hilo akitokea benki kuu ambako nako alikuwa akiratibu EPA?

LOWASA kama unapata muda wa kupitia JF soma upime na mambo ambayo wengi tunakuomba ufanye: mwaga mboga ya CCM kwani wao wameisha mwaga ugali wako. Chagua upande mwingine wa kupambana nao kisiasa najua wataku 'pardon' kwa lolote unalotuhumiwa nalo kama utaamua kumwaga mboga ya CCM ili mkose woote. Itakuwaje wakutoe sadaka wakati lenu lilikuwa moja.

Lowasa asijidanganye kwamba atakuwa salama akibaki CCM, never. Watamwandama na si ajabu wakamburuza mahakamani kwa kesi ambazo hatoweza kujitetea. Aki - Cross border to kuja upande wa pili ambao atauona ni strong na kuongeza nguvu ya kuwapiga chini CCM yuko salama salimini. Akiendelea kukaa na hao watu ambao kwa sasa ni dhahiri wamepania kumsambaratisha kabisa atajutia kusitasita kwake.

JK ni legelege mno kwa wapambe wake na familia yake au niseme anawapenda mno kiasi kwamba wasemalo hapingi. Ni ukweli usiofichika na ni dhahiri kwamba Ritz1 amekuwa akimpiga vita Lowasa. Huyu dogo naye anajisahahu kwamba tutakuja kumuuliza wapi alikopata mtaji wa biashara alizokuwa nazo sasa.

Kama amekopa benki sawa, lakini dhamana ni nini? Isije ikawa serikali ndo dhamana na kama itakuwa hivyo hayo yatakuwa matumizi mabaya ya ofisi ya babake. Na kama ni kinyume basi atuoyeshe 'returns' za kodi............

LOWASA COME ON OUT WITH AUDACITY OF ACTION au kauli mbiu yako ya MAAMUZI MAGUMU ILIKUWA KUDANGANYA WATU? MAAMUZI YAKO MAGUMU YANAHITAJIKA SASA....

Wakati unandika ukumbuke epa, escrew meremeta, geita gold main, mchuchuma na linganga n. K
 
ccm mtaisoma no mwaka huu labda mtumia bao la mkono nalo sio rahisi tutapambana mpaka mwisho makamanda wapo imara mwanzo mwisho mpaka kieleweke.ukawaaaaaaaaaaaa habari ya mjini
 
Back
Top Bottom