Lowassa: Harusi yageuka matanga

Lini uliwahi kusikia magamba wamezuiwa kufanya mkutano? Ni lini uliwahi kusikia wanaccm wananyanyaswa ama kufunguliwa mashitaka na polisi?
Hivi kumbe jeshi la polisi liko kwaajili ya wapinzani??bora leo umesema ukweli
 
 

Nchimbi al8ahidiwa uwaziri mkuu na mamvi
 
 
Patachimbika tu!! Ukimwona kobe katulia jua anatunga sheria!! Mambo bado kabisa!!
 
Mkuu umenigusa sana. Nilikuwa mfuasi wa kutupa wa Lowassa nikiamini katika falsafa yake ya maamuzi magumu kumbe ilikuwa hadaa tu na hakuna lolote. Nilifikia hatua hata ya kichongesha bango kwa 80,000/= na nikawaambia viongozi wa CCM kuwa Lowassa asipotendewa haki nitamfuata anakoelekea. Leo hii kakaa kimya hana huruma tena na machungu ya wafuasi wake kwani anachoangalia kwa sasa si mashabiki wake wako hali gani isipokuwa masilahi yake akitoka CCM. Najuta kuipokea moyoni hiyo hadaa ya maamuzi magumu.
 
Khaa!! Kumbe Kingunge alitumwa kumvuruga mamvi. Nimesikia tu
 
kwa sasa hivi nilishaamua kutoharibu kura yangu kwenda upande wa pili, ila nasubiri mshana Jr aniaminishe mkuu, kwamba mzee bado yupo hai anapumua
 
Last edited by a moderator:
alianza kununua vitu vya mtoto kabla mtoto hajazaliwa
Alivyo jikampenia kabla ya hata kujua ka atapeperusha chama chake, hapo ndipo hadi kesho sielewi ilikuwaje. Kwani angesubiri baada ingekuwaje?

Bungeni alikaa muda gani maana barabarani kila siku?
 
Maamuzi atakayoyafanya mhusika anayezungumziwa kwenye uzi..yatawashangaza watanzania kuanzia viongozi wa ccm..😀😀

Hakuna lolote atakalofanya zaidi ya kurudi kwao kuchunga ng'ombe. Hii ndiyo Tanzania bwana, waliokuwa wanajipendekeza kwake watamsahau sasa hivi
 
Patachimbika tu!! Ukimwona kobe katulia jua anatunga sheria!! Mambo bado kabisa!!
Kitu ambacho CCM wamemfanyia Lowasa, halafu ikitokea huyu mamvi akachukuwa nchi kupitia CCK, mbona vyoo vitakuwa havitoshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…