Lowassa: Gwajima ni mnafiki

Nadhani Gwajima ana hamu ya kunyang'wanywa ile hedikopta
 

Attachments

  • 1451571695491.jpg
    51.3 KB · Views: 31
Eti sabato masalia. Nadhani huyo jamaa hauja muelewa cz sidhani kama amemaanisha. Naamini kafanya kijembe hapo!!
 

Na wale wa Makonteina mpaka sasa nadhani yashafika 20,000 na wenyewe wapo maeneo ya Mkoa wa Pwani sijui hawa tutawaitaje?

Ukimchukia mtu basi iache akili yako ifanye kazi.
 
Hakuna kitu kama team lowassa mkuu...ukiangalia kwa ukaribu utagundua team lowassa imegawanyika makundi mawili...
a) 4 U Movement
b) M4C
Sasa ndo nini? Unasema hamna kitu kama team lowassa alafu unasema team lowassa imegawanyika ktk makundi mawili! Wee ni bavicha??
 
Mbwa anayebweka kukamata makalio ya
wanaume magufuli ndie Fisadi mkuu ndio maana serikali yake kaweka mafisadi kibao
 
Gwajima sio mnafiki peke yake ni mshamba pia
 
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Uwiiii lol. Hivi kumbe bado una homa ya kutokubali kuwa ukawa ilishindwa urais. Jamani jipuuuu hiliii mtumbuaji lifanyie kazi maana hawa ndio wanaoanzishaga chokochoko kimashara
 
Watz muwe na utashi wa kuchagua vyanzo vya habari
 
asa anajitoa kwenye urafiki sasa hivi wakat alionekana kabisa kweli unafiki mbaya
 
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Sasa nimeamini wewe ni miongoni mwa wa wale waliodeki barabara Lowasa apite
 
Wembe ndiyo gazeti gani na linamilikiwa na nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…