chavalikungu
Member
- Jun 16, 2013
- 7
- 1
Hivi ni kweli unafikiria kwa akil zako zote na kumsemea rais wako vibaya...sikulaum ni elimu waliyokunyima ccm...na lengo la ccm tokea longtime ilikuwa ni kuandaa wajinga tz ili iwe rahis kuwaburuza...ona sasa tunabishana wenyewe ambao tunahitaji mabadiliko haya kutoka kwa rais wetu mtukufu sana Edward Ngoyai Lowassa