Lowassa: Elimu bure inawezekana Tanzania

Lowassa: Elimu bure inawezekana Tanzania

LOWASSA sio tu kuwa NI FISADI PAPA, bali pia ni muongo na mlaghai. Hiyo ppesa ya elimu ya bure mpaka chuo kikuu itatoka wapi wakati:

  1. Tunahitaji barabara mpya kibao
  2. Tunahitaji kuboresha elimu ya msingi kuanzia majengo hadi waalimu
  3. Tunataka kupanua elimu ya vyuo
  4. Tunahitaji kuboresha matibabu n.k, n.k.

Hiyo pesa ya bure chuo itatoka wapi wakati tunataka kupanua elimu ya chuo??

Anachotaka FISADI JENEZA LINALOTEMBEA EDWARD LOWASSA ni kuwalaghai wananchi halafu akishaingia aiibie nchi na kuwalipa marafiki zake wanaomdai.

Wewe ndiye tatizo, huelewi na pengine hufikiri vizuri.

Hiyo projections zote zinalenga kuongea mapato na makusanyo ili kuwezesha wanachosema CCM hakiwezekani (elimu bure chekechea - university) kiwe funded, kiwezekane.

Inaposemwa "ELIMU" as priority number one, two and three, maana yake ni mfumo mzima wa elimu kwa maana ya kufanya "overhauling" ya system nzima ya utoaji wa maarifa na ujuzi, miundo mbinu ya shule na vyuo vyetu (maabara, nyumba za walimu, madarasa, vifaa vya kufundishia na kujifunzia nk) na maslahi ya watumishi wa sekta hii.

By any means, hiyo haina maana ya kuathiri bajeti ya barabara, afya na sekta zingine kwa sababu zipo, zina bajeti yake na hata sasa ipo.

Halafu ni lazima tuelewe kuwa unapomwondolea mwananchi zile direct expenses anazolipa ktk eneo hili la elimu km ada na michango mingine na asipolipa hapokelewi shuleni, maana yake unampa nafasi mzazi wa mwanafunzi huyu kushiriki ktk uchangiaji wa maendeleo ya shule yake kwa namna nyingine pasipo na kinyongo, mfano ujenzi wa nyumba za walimu, madarasa, maabara nk sometimes inapohitajika.

Hapa hats wazazi wenyewe wataelewa ns hawatakuwa na kinyongo chochote kushiriki ktk maendeleo yao kwa namna hii.

Hii ni tofauti na sasa, haiko sawa na sasa hivi kwa sababu licha ya wazazi kulipa ada na michango lukuki mashuleni ambapo kuna baadhi ya shule za msingi na sekondari michango inafikia hadi Tshs. 300,000 kwa mwaka na wakati huohuo mzazi huyu analazimika kuchangia fedha nyingi tena kwa nguvu na lazima ujenzi wa madarasa, maabara, nyumba za walimu, chaki, tuisheni, vitabu nk!!

Ni kiasi cha kusema kwamba serikali imejitoa completely katika jukumu lake la msingi la utoaji wa huduma za msingi za kijamii kama hii ya elimu na wakati huohuo inakusanya na kubuni kila aina ya ushuru na kodi za kumkamua mwananchi huyu!!

Nitakupa mfano mzuri tena ndani ya serikali ya CCM hiihii wakati wa ujenzi wa shule za sekondari za Kara ambapo mpango huu ulipamba moto sana wakati EL akiwa PM na ukazima Mara baada ya yeye kuondoka serikalini mwaka 2008

Kwa sehemu kubwa shule hizi zilijengwa na wananchi wenyewe. Na sera ya CCM ktk hili ilikuwa nzuri tu na ilisimamiwa vyema na PM wa wakati huo Edward Lowassa kwamba wananchi wanyanyue majengo (maboma ya majengo) kwa nguvu zao kisha serikali inaanzia hapo hadi kukamilisha jengo lote. Ndiyo maana shule hizi zipo leo.

Si hivyo wananchi walitoa maeneo yao bure ili shule hizi zijengwe bila ya shuruti wala nini.

Mara baada ya Lowassa kuondoka na mpango wote ulisimama na sera hii kukosa mwelekeo. Tembelea leo ktk shule hizi zote za mjini na vijijini utakuta majengo aliyoyaacha Lowassa mwaka 2008, mpaka leo yako vilevile na mengine yameporomoka na badala yake serikali ikaja na kitu kingine kabisa eti KILIMO KWANZA anbacho na wenyewe sijui umekwamia wapi maana hauekezwi changamoto na mafanikio yake!!

Leo ukiwaambia watu wachangie shughuli yoyote ya maendeleo, wote utawafunga kwa sababu hawatakuelewa kwa vyovyote vile!!

Mfano hai ni huh wa mwishoni mwa mwaka jana ambapo Rais Jakaya Kikwete alikuja na agizo tu tena lililojaa vitisho kwa watumishi wa umma (DCs, RCs, DEDs na wengine) pamoja na wananchi linalohitaji mabilioni ya fedha out of budget la ujenzi wa maabara ktk shule za sekondari za kata zote Tanzania, ambalo lili fail kwa zaidi ya 75% na pale lilipofanikiwa, basi ni kwa kuacha majeraha na chuki kubwa kwa wananchi dhidi ya CCM na serikali yake!
 
LOWASSA imemshinda Monduli licha ya yeye kuwa Mbunge wao kwa miaka karibu 30+ ingawa binafsi kajilimbikizia utajiri wa kupindukia. Je hizo ahadi zake leo ndio zitafika Sumbawanga?
 
CCM inaongozwa na mipango ya IMF / WB kwa maslahi mapana ya watu wa magharibi ... Gas, Dhahabu, Almasi, Tanzanite wanaamini si ya Watanzania ndo maana UK inamiliki Mwadui Diamond to date ...
RockSpider,

..wa-Tz tumezoea umasikini.

..tumezoea kushindwa. sasa kila kitu tunaamini hakiwezekani.

..ccm wamesema elimu bure mpaka form 4.

..sasa inashindikana nini elimu kuwa bure mpaka chuo kikuu?

..zile nchi zinazotoa elimu bure chekechea mpaka chuo kikuu zimeweza vipi?
 
Magufuli anasema elimu ni BURE hadi kidato cha nne ila huo ubure hafafanui! January mwaka ujao watoto wataenda mashuleni hawana hata kalamu kwa kuwa wanatangaziwa elimu itakuwa bure!

Lowasa anaahidi elimu BURE hadi chuo kikuu bila kutoa ufafanuzi! Wanaosoma vyuo vikuu semester ijayo wasibebe hata vitabu na michango yote na ada haitakuwepo? Halikadhalika ifikapo january watoto wasinunuliwe hata nguo za shule?

Ni vema wagombea hawa wakataja hizo ahadi zao zitatekeleyeka kuanzia lini? Je ni kuanzia january mwaka ujao au ni lini?
 
Watanzania wenzangu nina watoto watatu ..wawili wa marehemu kaka yangu wamechaguliwa kujiunga chuo Ifm..ada na garama nyingne ni 1750.000 sasa ukizidisha mara Tatu ni majanga...sasa ombi langu sio fedha Bali nataka mumpe lowasa kura ili wanangu wakasome bure ..mm nitapambana na hela ya meals and accommodation. ....tumpe kura lowasa wetu incase akitugeuka tunampelekea watoto wetu ikulu akakae nao maana alituaidi elimu bure....
 
kwangu naungana na mleta uzi kuwaomba watanzania wenzangu tumpe lowasa kura zetu ili nifutiwe deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu kama alivyoahidi. ungana nami
 
Hili nimelishuhudia kwa watu watoto wanarudi shule kisa ada na michango amabayo ilitakiwa igaramiwe na serikali nimeshuhudia vijiji tanzania kura zote kwa lowasa kisa elimu bure na bora mpaka chuo kikuu

Wazazi wanalia watoto wao kurudishwa nyumbani kwa sababu ya serikali hii ya ccm
 
kwa ufupi Watanzania wengi ni fungu la kukosa ...
RockSpider,

..wa-Tz tumezoea umasikini.

..tumezoea kushindwa. sasa kila kitu tunaamini hakiwezekani.

..ccm wamesema elimu bure mpaka form 4.

..sasa inashindikana nini elimu kuwa bure mpaka chuo kikuu?

..zile nchi zinazotoa elimu bure chekechea mpaka chuo kikuu zimeweza vipi?
 
elimu bure mpaka chuo kikuu sasa yawezekana baada ya sisi kina Thomaso kuona Magufuli ndani ya mwezi mmoja ameokoa trilioni moja kweli Lowasa uliona mbali ila kupanga ni kuchagua so tayari tumeshachagua mpaka form four bure so imekula upande wetu
 
kwa kina sisi Thomaso tumeshaamini elimu bure ya Lowasa inawezekana kwa Magufuli kwa kuokoa matrilioni ya shilingi kwa mda wa mwezi mmoja tu hebu piga kwa mwaka itakuwa sh ngapi alafu rejea bajeti ya Elimu kwa mwaka alafu weka hitimisho kweli watanzania tulidanganywa elimu bure haiwezekani ila leo tumejionea wenyewe elimu bure yawezekana na pesa zipo
 
LOWASSA na ELIMU YA BURE CHUO KIKUU inawezekana kwa kufanya yafuatayo

1.Elimu ya BURE inawezekana kwa kuachana na mbio za MWENGE za kila mwaka zinazogharimu Trillion 1.5 na zaidi

2.Elimu ya bure Inawezekana kwa SERIKALI YA LOWASSA ambayo imepanga kufuta MSAMAHA mirahaba ya KODI YA MADINI inayofikia kiwango cha Trion 4.5 kwa Mwaka ambayo serikali ya CCM imekalia kimya coz ni washirika Wa mikataba hiyo.

3.ELIMU ya bure inawezekana kwa kuongeza suala zima la mawasiliano na uchukuzi ili UTALII uongezeke nchini

4.ELIMU ya bure inawezekana kwa Serikali kuwekeza katka katika VICOBA mijini na vijijin vyenye wastani Wa kuingiza zaid ya trion 1.5 kwa mwaka

5.ELIMU ya bure inawezekana kwa kufuta KODI KAMPUNI KUBWA kama vile Mitandao ya Simu na hotel kubwa like( HOLDAY TAX) ambapo serikali ya CCM hupoteza zaidi ya billion 950 kila mwaka

06.ELIMU bure chini ya LOWASSA inawezekana kwa Kuharakisha kuendesha kesi mahakamani na kutoweka gerezani kwa muda mrefu MAHABUSU ambao hugharimu zaidi ya billion 690 kila mwaka.

7.ELIMU bure inawezekana kwa kupunguza idadi ya BARAZA LA MAWAZIRI NA MASHANGINGI kama LOWASSA alivyosema awali ambao chini ya serial I hii ya CCM hugharimu zaidi ya bilion 896 kwa mwaka chini ya CCM.

8.ELIMU bure inawezekana kwa kupunguza safari za RAIS kwenda kuomba misaada nje ambazo hugharimu zaid ya bilioni 300 kwa mwaka.

Elimu ya bure inawezekana kwa kukusanya ushuru Wa FORODHA ipasavyo ambapo serikali hupoteza zaidi ya billion 900 kila mwaka.
YOTE 09,

10.ELIMU ya BURE inawezekana kwa kumchagua LOWASSA kuwa RAIS WA TANZANIA 2015-2020

Na kuhusu HOTUBA,kama RAIS NI KUONGEA basi kuanzia nyerere hadi JAKAYA TANZANIA ingekuwa kama MAREKANI.

LOWASSA...MABADILIKO

MABADILIKO ....NA LOWASSA

kwa mwezi mmoja Magufuli ameokoa Tsh zaidi ya trilioni izo ni zilikuwa ziteketee sasa kwa mantiki hii elimu bure mpaka chuo kikuu.
kweli kupanga ni kuchagua imekula upande wao waliokataa na kusema haiwezekani
 
Back
Top Bottom