Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Kwenye hivyo video kuna nembo ya chama gani?
kuhusu nyumba za serikali msikilize mwenyekiti wa chadema kanda ya pwani Mr Sumaye hapo juu anatoa ufafanuzi mzuri tu.
Richmond ni ya Lowassa ilo awezi chomoka, ukitaka ushaidi waulize lissu, mnyika na lema walishasema.ushahidi wanao.
Yani huyo Lowassa ni afadhari mtafute mwingine huyo ni mwizi ata nafsi yako inajua kutopandishwa kizimbani hakumfanyi kutokuwa mwizi wapo wezi wengi tu wa nchi hii awajafikishwa kortini sababu walituibia kwa akili nyingi lakini haiwafanyi kutokuwa wezi.
Magufuli ni kiongozi ni jasiri atatufikisha sehemu nzuri, amethubutu mpaka kugusa eneo la madini pamoja na kumbeza wengi tunaamini kuna matunda tutayaona huko.
Pengine sio mzuri kwenye siasa ndio maana vilio vyenu wengi haswa ni kwenye demokrasia.
Ziliundwa mahakama za wahujumu uchumi ili ziwashughulikie kina nani? au ilikuwa geresha?Kwa hiyo Rostam Lowassa na Karamagi sio mafisadi sababu hawajashtakiwa?
Mbona hamjawafuata ili wawe mashahidi kwenye mahakama mlizounda? Mnachokiogopa ni nini?Naona mnazunguka hawa jamaa wamturahisishia kwani wanatumia mitambo toka Australia na UingerezaView attachment 601548
Jibu swali, Lowassa Rostam Karamagi Chenge sio mafisadi sababu hawajashtakiwa?Ziliundwa mahakama za wahujumu uchumi ili ziwashughulikie kina nani? au ilikuwa geresha?
Ama kweli kutosoma sio tija bora unachapa kazi...
WALIMU WAGEUZA MTI OFISI
Kwenye hivyo video kuna nembo ya chama gani?
Ukipata jibu utatambua FS alikuwa anatakeleza maagizo toka juu si utashi wake
Ukipata jawabu la maswali yangu ya awali utakuwa umeshajijibu kwakuwa hukuyajibu natambua kwamba unalo jibu zaidi ya ambalo ningelikujibu. Vipi bomberdier nasikia inakuja je ile iliyo ground (check c) nayo imeshaanza kazi?Jibu swali, Lowassa Rostam Karamagi Chenge sio mafisadi sababu hawajashtakiwa?
Na hao wengine wanalindwa na nani au sio mafisadi?Chenge bado analindwa na chama mkuu. Hivyo hivyo tu kama uncle Magu
Huwezi kuijua harufu ya choo ungali chooni lazima utoke ndipo utambue kule kulikuwa chooni!Sumaye anatekeleza maagizo au anajibu swali la kamanda Kubenea! Huyu Sumaye leo kawa lulu kwa kuwa tuu anavaa magwanda.
Watu wasiojulikanaNa hao wengine wanalindwa na nani au sio mafisadi?
Mkuu mbona yako wazi hayo? Hata ndugu yake aliyepewa kazi fasta fasta ili aweze kuqualify kama mfanyakaz wa serikali na kuuziwa hiyo nyumba anafahamika?Wewe unao ushahidi katoa nyumba kwa kimada na ndugu?
Hawa jamaa ni manunda wa kupindukia, wao ndio waliomtaja el ktk list of shame'mafisadi papa' Wakapublicise kuwa jamaa ni mpigaji. Ikabidi kamati ya bunge iundwe chini ya mwakyembe.Mpinzani aliyekuwa serious ni Slaa pekee, ndio mtu aliyekuwa na uwezo wa kusafisha nchi kwa 100% awa kina Lowassa ni bora ata Hashm rungwe.. Magu anafanya kile mlichokililia miaka yote lazima mkubali gharama ya kila mnachoitaji. Mnataka nchi ikae sawa uku mnachekelea tu bila kuwajibika sheinz kabisa.
Huu ni ukweli mchungu. CHADEMA wana makosa yao pia. Inawezekana waligunduwa wameingizwa chaka, lakini shida iko upande wa wananchi. Tulichanganywa siyo siri.Kwa maoni yangu chadema ilipoteza imani kwa wananchi baada ya kulamba matapishi yake. Pale walipoamua kumpokea Lowassa ambaye wamemhubiri kwa miaka 20 kuwa ni fisadi.
EL siyo fisadi lkn kwann walimhubiri kuwa fisadi kwa miaka 20?
Je, ilikuwa siasa? Siasa gani hii ya kuchafuana?
Je, walikurupuka kutangaza kuwa EL ni fisadi? Kama ndiyo. Basi chadema hawaaminiki, no wakurupukaji.
Wengi hamjui kilichomponza Lowasa kwa JK.
Tatizo lilikuwa Lowasa kumdharau JK akiwa waziri mkuu kiasi cha kuwa akisafiri nje ya nchi bila kumjulisha JK wakati huo naye akiwa nje. Sasa jamaa alitaka kumuonyesha tu kuwa yeye yupo juu hata kama wao (Lowasa na marafiki zake) ndiyo waliomfikisha hapo juu.