MawazoMatatu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2008
- 505
- 61
Mkuu Omarilyas hakuna lisilo wezekana kaka mi nilivosikia yaliyotokea Dodoma nikasema wajumbe hawawezi kua mambumbu kusurpport mafisadi hadhalani lakini nilipokuja kugundua ni kweli walisema waliyoyasema sikuamini! EL hasindwi kirahisi na wala hakati tamaa haraka umesahau ya uchaguzi wa CCM 1995??? alishindwa tena kwa kashfa kwamba kapata wapi pesa ya kukodi ndege ye na swahiba wake halafu akarudi 2005. hakomi huyu muungwana ndugu atarudi tuuu!!!Acheni kutufanya sote kuwa asusa za kazi zenu za UHANDISI WA HABARI. Hawa jamaa wanaweza wakawa wanasumbuliwa na arrogance ya power lakini kamwe si wajinga kiasi cha kupendekeza LOWASA na CHENGE kuwa SPIKA...
omarilyas