Lowassa, Chenge were lined up for Speaker's job | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa, Chenge were lined up for Speaker's job

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Aug 24, 2009.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  EITHER ex-prime minister Edward Lowassa or ex-attorney general Andrew Chenge were on the short list to take over the Speaker’s seat in the National Assembly had the attempted ouster of incumbent Samwel Sitta succeeded last week, THISDAY can reveal today.

  According to a senior Chama Cha Mapinduzi (CCM) official privy to details of the reported plotting and scheming during last week’s high-level CCM meetings in Dodoma, a good number of ruling party regional branch chairmen had been 'compromised' to push for either of the two ex-government leaders to assume the Speakership after Sitta’s envisaged ejection.

  It has been confirmed that the entire plan to remove Sitta and put in place a smooth replacement system was hatched and finalized during a series of secret meetings in Dodoma, Dar es Salaam and Mbeya ahead of the Dodoma meetings involving CCM’s central committee and national executive committee (NEC).

  ”The plotters not only sought Sitta’s removal as Speaker and expulsion from the party...they also took it a step further and earmarked who exactly should immediately replace him (as Speaker),
  ” the CCM official, also a NEC member, said.

  He continued: ”The names that came up were Lowassa or Chenge. But would either of them have actually agreed to have their names nominated for election as Speaker, had the plot to remove Sitta succeeded? Of that I am not sure.”

  It is also unclear if either Lowassa or Chenge were even aware that they were in line to replace Sitta at short notice, if it had come to that.

  Lowassa was forced to resign from the post of prime minister in February last year, after being heavily implicated by a parliamentary team probing the infamous Richmond power generation scandal.

  Hardly a couple of months later, Chenge - the country’s attorney-general for ten years until 2005, and thereafter a senior Cabinet minister - was similarly compelled to quit his government position after being named as an official suspect in the radar deal corruption investigation.

  While both have yet to be formally charged with criminal wrongdoing, they remain active as members of both the parliamentary backbench and the various CCM caucuses.

  Apart from Lowassa and Chenge, another name floated as a potential replacement for Sitta is the incumbent deputy Speaker of the National Assembly, Anna Makinda, who political insiders say is seen as more inclined to ”defend CCM interests” in parliament.

  The Speakership of the National Assembly is seen as a powerful and pivotal post within the ruling party and the national political scenario as a whole.

  As such, according to various CCM insiders, Sitta’s continued occupation of that post and anti-corruption stance represents a perceived large thorn in the flesh of a powerful group of corrupt politicians with vast personal business interests, who more or less control the party at will through its secretariat.

  According to one ruling party insider speaking to THISDAY: "These politicians are now desperate to also control the parliament...and they regard the removal of Sitta as a key necessity towards that goal.”

  The said group of politicians is believed to number about five or six, most of them incumbent members of parliament whose public images have in recent years become heavily tainted by serious allegations of grand corruption.

  ”They want to use the Bunge to clean up their own battered images, so that they emerge smelling like roses ahead of next year’s general elections,” said another CCM insider.

  According to THISDAY findings, the plot to remove Sitta from the post of Speaker is understood to have involved large sums of money exchanging hands within the CCM-NEC ranks.

  It is also understood that party leaders at various levels within mainland Tanzania were targeted to be roped in, while emissaries were also dispatched to Zanzibar to garner similar CCM grassroots leadership support for the plot over there.

  Sources say some NEC members received between 3m/- and 5m/- 'to ensure that the plan to get rid of Sitta succeeded.'

  Speaker Sitta was on Saturday accorded a hero’s welcome on returning to his Urambo parliamentary constituency in the wake of the failed plot to oust him. He vowed to soldier on with his work in the National Assembly, to ensure greater transparency and accountability in government.


  SOURCE: http://www.thisday.co.tz/News/6221.html
   
 2. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0

  - Badala ya kuwepo Segerea where they belong, wapo bungeni na wanajaribu hata kuchukua u-Spika wa Jamhuri, only in Tanzania inawezekana haya mambo.

  - Hii cancer ya Lowassa sijui tutaondokana nayo vipi na lini, maana inaonekana it is here to stay mpaka arudi kwenye power by any means necessary! Naona uamuzi ni wetu wananchi kumruhusu au kutomruhusu!

  Mungu Aibarikie Tanzania!

  Respect.


  Field Marshall Es.
   
 3. M

  Mzee Mzima Senior Member

  #3
  Aug 24, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  najionea huruma kuwa katika nchi ya kuburuzwa namna hii, wanatuona wote vilaza, narudia statement yangu ya mwanzoni kuwa nahisi watanzania tumelogwa, lazima tutafute mchawi wetu, kwani tunageuzwa vichaa na tunakubali tena bila hata kusita, yule kijana wa muziki wa bongo flavor kasema "usinikubali haraka" na sisi tunashindwa kabisa kukataa kidogo.... sob sob!!
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kilichobakia ndani ya nchi yetu hii ni MOB JUSTICE. Utawala wa sheria kama unavyoelezeka kwenye vitabu na majukwaa ya siasa unahusiana na walalahoi pekee.
  Kuna watu watachukizwa, watanuna na wataona nahimiza uvunjaji sheria. Lakini kilichobakia na kinachoonekana kila tunapoamka na kusoma matukio na yanayosemekana kupangwa ndiyo hayo.

  Hata hivyo kuna pahala kadhaa hiyo habari juu haijitoshelezi. Kwamba,
  Kitu kama hiki sidhani kinaweza kusukwa bila wao kufahamu. Kuna ulakini hapa.
   
 5. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nadhani hapo wameweka makusudi kukwepa kushitakiwa na kina Chenge, hasa baada ya kushindwa kuwauliza wenyewe.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Je, tumelogwa?
   
 7. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Yaani hawa jamaa ni wababe aise, hivi kweli nchi yenye dola anawaachia wahalifu watese kiasi hiki? Tunahitaji kujifunga mikanda maana vita hii siyo ndogo.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jamani, naona sasa kama tunaanza kupoteza mwelekeo... tumekuwa too much "gossip mongers", kama ni kweli basi mtu kabla hajashare news awe tayari kutoa ushahidi!!

  Mimi naona sasa tumekuwa tunatumika tu na waandishi wa habari wanaogeuza hata siasa na utawala wa nchi yetu kama novel na riwaya fupifupi ili wauze magazeti ambayo kwa sasa hayana tofauti kubwa na vitabu vya "someni kwa furaha" n.k.

  Vita dhidi ya ufisadi itashindwa kama watanzania watakuwa na "too many fronts"!!!

  Lets be focused on a few fronts [with evidence kama ripoti zilizofanyiwa uchunguzi] na kupambana kwenda mbele

  KILA KITU KINAWEZEKANA CHINI YA JUA --- HATA MAENDELEO YA KWELI YA NCHI YETU
   
 9. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Uzuri wa haya yote, Mungu amekuwa upande wa wale wanaoitakia mema nchi hii. Ametuonyesha mapema kasoro za uongozo tulionao sasa angalau mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ili tuweze kupima ni upi mchele kati ya pumba nyingi. Fikiria watu wapeane kiasi cha kati ya Tshs 4 - 5mill, ili kumwondoa mtu mmoja na bado wakashindwa, wataweza vipi kuwaaondoa walio wengi kwenye mapambano ya ufisadi hapo mwakani ikiwa wao wenyewe wako katika vita ya kujinusuru kutoswa kwenye sanduku la kura?
   
 10. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  unataka ushahidi gani juu ya Chenge na Lowasa kuwa mafisadi? ni wazi kuwa Chenge anahusika na rada pamoja na meremeta na uchunguzi umefanyika. Ni wazi kuwa Lowasa anahusika na Richmond/Dowans na uchinguzi umefanyiaka. Ni wazi kwamba Chenge, Lowasa, Rostam na wenzao mafisadi ndiyo wanaofanya kila linalowezekana kuzuia mijadala ya ufisadi kwa kupitia media (magazeti ya Umma, Taifa Tanzania, Tazama, Nyundo, Mtanzania, Rai nk) na kupitia wajumbe mbalimbali wa CCM. Hizi ndiyo scenario tunazopambana nazo na inabidi tuendeleze mapambano.
   
 11. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Uzuri wa haya yote, Mungu amekuwa upande wa wale wanaoitakia mema nchi hii. Ametuonyesha mapema kasoro za uongozo tulionao sasa angalau mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ili tuweze kupima ni upi mchele kati ya pumba nyingi. Fikiria watu wapeane kiasi cha kati ya Tshs 4 - 5mill, ili kumwondoa mtu mmoja na bado wakashindwa, wataweza vipi kuwaaondoa walio wengi kwenye mapambano ya ufisadi hapo mwakani ikiwa wao wenyewe wako katika vita ya kujinusuru kutoswa kwenye sanduku la kura? Hakika CCM imeshindwa kusoma alama za wakati!
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Evidence gani hiyo mkuu unaongelea?! Au unaongelea nchi tofauti??

  Ernest & Young walitoa report (factual) evidence ya madudu BOT - lakini wahusika bado wanapeta.

  SFO ya kule kwa Waingereza walitoa report na kuelezea transaction zote kuhusiana na Radar - lakini wahusika bado wanapeta.

  Mwakyembe na kamati yake walitoa report mbele ya Bunge Tukufu la Jamhuri kuhusiana na Richmond - lakini wahusika bado wanapeta.

  n.k. n.k..... Evidence zipi unaongelea mkulu wangu?!
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hujanielewa, nazungumzia hayo ya kuandaa spika awe Lowassa au Chenge... Ya ufisadi sikanushi kwasababu nimesoma ripoti zote ambazo zimeletwa humu JF
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  SteveD

  Point yangu ni jinsi vichwa vya habari vya hicho kikao cha NEC kimeleta habari zaidi ya kumi; na hilo ndio jambo linalonikera

  KUHUSU YA EVIDENCE YA UFISADI SIKATAI NA KAMA UMESOMA COMMENTS ZANGU SIJAWAHI KUUNGA MKONO MAFISADI INCLUDING CHENGE NA LOWASSA

  POINT YANGU IKO PALEPALE, TUWE FOCUSED NA YALE YALIYOTHIBITISHWA, HAYA YA RUMOURS TUSUBIRI MPAKA EVIDENCE... RIPOTI YENU YA MEREMETA IKO WAZI NA KILA MTU AMEIELEWA--- TUNATAKA VITU KAMA HIVYO

  HII YA REPLACEMENT YA SPIKA INANIPA WASIWASI

  VITA NZURI LAZIMA IWE NA FOCUS, KWA SASA TUNADILUTE HABARI ZA KWELI NA AMBAZO HAZINA UTHIBITISHO
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  But you have seen the trend, do you really expect thisday to put all in writing with utter confirmation that the named were lined up to assume speaker's seat?!
   
 16. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  I can only say "My Goodness!" If morality and ethical behaviour have sunk so low in Tanzanian leadership, we are doomed!

  As Steve D says, the only alternative seems to be mob justice or organized riots.

  The names, being branded about as possible successors of 6 as Speaker, stink. The allegations against them, make them candidates for Segerea, as Field Marshall ES has said above.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni gazeti pekee ambalo lina-dare talk openly, i never miss a single copy!!! what i dont want ni pale walipoiweka kimtindo

  nataka waweke kama vile habari za kichunguzi walizotoa ijumaa na jumamosi, unaona flow, dots, na hata kupata nafasi ya kupambanua

  wewe isome vizuri hii habari halafu angalia na nyingine wanazotoa
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimeona hiyo mapema tu mkuu, ndiyo maana nika comment hapo juu kuhusiana na jinsi ilivyo andikwa.

  Lakini ninachoona mimi kinaifanya hii habari iwe na percentage kubwa ya ukweli ni mapokezi ya Mh. Sitta Urambo. What a parallel coincidence!!
   
 19. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Wewe ni miongoni mwa Watanzania waliolala fofofo huku nchi ikiangamia. La sivyo ni mmoja wa watu wanaonufaika na ufisadi wa hawa watu. Kwa taarifa yako hawa mafisadi wamejipanga vizuri sana kwa kutumia udhaifu na ufinyu wa akili za watanzania walio wengi (utapima kama na wewe ni mmojawapo) kujaribu kujinasua na tuhuma nyingi zinazowakabili. Issue ni kwamba bado wana nia ya kutaka kuendeleza ufisadi, na hawawezi kufanya hivyo wasipokuwa kwenye power.
  Mara baada ya kikao cha Bunge walikutana Mbozi, shambani kwa kigogo wa zamani wa Usalama wa Taifa, ambaye ni mtu wao. Walipanga kumng'oa Sitta na kumpachika mtu wao ili kazi kubwa ya Kwanza iwe kuwasafisha na tuhuma zote zinazowakabili na baadaye kuweka mikakati ya kutwaa urais.
  Hili watu wa Usalama wa Taifa wanalijua, kama wanavyojua jinsi pesa zilivyotembea kwa wajumbe wa NEC kuanzia Z'bar, Dar es Salaam na baadaye Dodoma. Lakini kwa kuwa hakuna kinachofanyika, inabidi sisi wana wa nchi tujadili hatua za kuchukua... Au mnasemaje? Kama wote tutakuwa na mawazo kama ya huyu MTM na vibaraka wengine wa mafisadi nchi hii itaangamia. Amini amini nawaambia watu hawa hawana nia njema na nchi hii hata kidogo. Vizazi vijavyo vitatushangaa kwa utaahira wa kuiacha nchi ikiwa maskini licha ya kuzungukwa na resources ambazo zingetufanya tuwe miongoni mwa nchi tajiri katika bara hili la Afrika. Amkeni jamani...
   
 20. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  It seems these guys (ThisDay) have got a very reliable source.
   
Loading...