Lowassa, Chenge na Rostam - Nini hatma yao?

yeah lakini wamemuharibia sana EL sababu ndoto zake ilikuwa siku moja kuja kuongoza nchi hii. Tangu zamani hata wakati ule baba wa taifa bado hai alionyesha utashi huo, nafikiri safari yake imeishia hapa rasmi, unless afanye Move kali ambayo itashangaza nchi sababu ana wafuasi wengi sana nyumba yake.
Mkuu mie naona hapo ndiyo mwisho wa EL. .... Hapa sasa hata achacharike vipi....habari yake imeisha na waliommaliza ni wana ccm wenzake
 
Jamani ukweli ni kwamba uhai au kifo cha CCM kipo mikononi mwa Lowassa na Rostam Azizi. Hawa wana siri nyingi sana kwani ni vema ujue ufisadi hawakufanya peke yao bali kwa ushirikiano na vigogo wengi wa chama na serikali. CCM labda haijafanya utafiti ijue uamuzi wanaotaka kuufanya unaweza kumkuta Rais wa nchi haswa pale watuhumia watakapoamua kujitetea kama mtu binafsi na si kama wanachama wa CCM.

Lazima watakapokuwa wanakata roho za kisiasa wataongea maneno ya mwisho na kupaza sauti kabla ya pumzi ya mwisho na hapo ndo JK atarudi zero katika kusafisha chama. Na huuu mchakato utakigharimu tena chama mwaka 2015. Hekima inatakiwa itawale hapa wasichukulie kuwafukuza EL, RA na Chenge itakuwa rahisi kama kurusha karatasi kwenye dustbin halafu inatulia humo mpaka ichomwe. Hawa hata wakifukuzwa lazima wapambane.

JK anasema yeye hawajui, tena siye aliyewataja na hajui kwanini wametajwa hao tu, na yeye hajui kama alishawahi kushirikiana nao, na hajui kama kuna madhara kuwafukuza 3stars wa ufisadi katika CC, pia hajui kama CCM itapata madhara kama El,RA na Chenge wakifukuzwa kama wataleta shida kwani anachojua Wezi wanakula amini ya kutotajana hadi kifo kiwatenganishe. Nao hao ni Majambazi sugu siyo rahisi kutajana wala kubomoa chama.
 
Pia JK hajui hata kwanini yeye amekuwa Rais....na hajui maana halisi ya urais na hajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania
 
Kwa kitendo hiki cha kuwatosa EL,RA na AC,nawaambia wana-JF subirini bomu litakolofumuka ccm,bado busara haikutumika kuwatoa hawa jamaa,ni visa na chuki vilitawala kuwatosa,sasa subirini!!
 
Nimeonewa sana....nimesemwa sana.......hii yote ni sababu ya uwaziri mkuu....(sijui km atathubutu kusema upuuzi km huu kwa mara hii)

Mara hii atasema Nimeonewa sana....nimesemwa sana.......hii yote ni sababu ya uraisi 2015....
 
Hao Jamaa watatu tu Wakiamua kuimaliza CCM wanaweza, wana wafuasi na wameweka mizizi ya ajabu. CCM wawaombe msamaha kwa kuwaita MAFISADI bila ushahidi wa kisheria.

Pili CCM Ihakikishe inayalinda maslahi yao na familia zao, wasisumbuliwe na mtu yoyote, vinginevyo wakiamua kuimaliza CCM WANAWEZA tena less than 7 days. NAPE hawezi ubavu wa EL, RA NA CHENGE. Bado bwa mdogo sana.

Aah wapi! walikuwa na nguvu kwasababu walikuwa na pesa na pia walikuwa ndani ya system, system ikiwatema ujue ndiyo kifo cha mende. Chukulia mfano wa Mkulu wa Egypt alikuwa na power na pia na pesa na power yake ilikuwa kutokana na system ya ndani na nje ya nchi ukitoa pumzi tu ya power hivi vingine vinakufa automatically. Hapo unafiki wa mwanadamu ndipo unapodhihirika wazi; kama system itawatema wachache sana watabaki kuwa tetea maana bond ilikuwa inawaunganisha ime dissolve.

Ukitaka kujua nini maana ya anguko mwangalie rais wa Egpt na yule aliyekuwa rais wa Bosinia? aliyegeuka kuwa kama babu wa Loliondo; you are reduced to nothing mpaka mtoto mdogo anaweza kutemea mate usiwe na chakufanya! Kitakachowafanya hawa kuendelea kuwa na nguvu ni system na wala si pesa walizonazo na kwa system na maanisha both internal na external!
 
Kwa kitendo hiki cha kuwatosa EL,RA na AC,nawaambia wana-JF subirini bomu litakolofumuka ccm,bado busara haikutumika kuwatoa hawa jamaa,ni visa na chuki vilitawala kuwatosa,sasa subirini!!
Jamani! si ni sisi wanaJF tuliokuwa tunasema hawa jamaa 3 wamekubuhu kwa ufisadi na ikawa tunapendekeza watimuliwe kwenye siasa na kufilisiwa kabisa? iweje leo tunalalamika tena eti kwanini wameondolewa ccm? tuache unafiki jamani
 
............. NAPE hawezi ubavu wa EL, RA NA CHENGE. Bado bwa mdogo sana.
Nadhani wewe ndiye Bwana Mdogo kabisa kuliko huyo Nape zinapokuja Siasa za Bongo. Hivi wewe unadhani Nape ndiye aliyeleta haya Majivua Gamba? Rudi Maktaba kachimbue zaidi ndipo utarudi tena na kutuambia Udogo wa Nape na Ukubwa akina RA, EL et al
 
Kwa kitendo hiki cha kuwatosa EL,RA na AC,nawaambia wana-JF subirini bomu litakolofumuka ccm,bado busara haikutumika kuwatoa hawa jamaa,ni visa na chuki vilitawala kuwatosa,sasa subirini!!

Yaani unataka kutuambia evidence zote hizi zilizokuwa zinatolewa humu na watu maelfu kuchangia bado hawa watu walionewa na watu wote hawa? Ask yourself kama wanachukiwa na almost 90% ya wachangiaji humu ambao by definition ndiyo wenye elimu ya kati na juu hapa nchini kwani bila kuwa hivyo access to internet would be an impossible cost to them kutokana na mode of the employment wether formal or informal then hiyo chuki unaiona ni bure? It has to do with some kind of touching these peoples livelihoods. Jaribu kuwa analytical na kuepuka hisia zisizonafaida ambazo ni very subjective. Watu wametoa data humu zimejadiliwa for almost four years then unawezaje tuambia kuwa hawa watu wameondolewa kwa chuki; yes ni chuki kweli lakini chuki yenye substance siyo ya umbea!
 
Point....well said mkuu i like ur sound
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Jamani ukweli ni kwamba uhai au kifo cha CCM kipo mikononi mwa Lowassa na Rostam Azizi. Hawa wana siri nyingi sana kwani ni vema ujue ufisadi hawakufanya peke yao bali kwa ushirikiano na vigogo wengi wa chama na serikali. CCM labda haijafanya utafiti ijue uamuzi wanaotaka kuufanya unaweza kumkuta Rais wa nchi haswa pale watuhumia watakapoamua kujitetea kama mtu binafsi na si kama wanachama wa CCM.

Lazima watakapokuwa wanakata roho za kisiasa wataongea maneno ya mwisho na kupaza sauti kabla ya pumzi ya mwisho na hapo ndo JK atarudi zero katika kusafisha chama. Na huuu mchakato utakigharimu tena chama mwaka 2015. Hekima inatakiwa itawale hapa wasichukulie kuwafukuza EL, RA na Chenge itakuwa rahisi kama kurusha karatasi kwenye dustbin halafu inatulia humo mpaka ichomwe. Hawa hata wakifukuzwa lazima wapambane.

Mmh I doubt; hivi unaijua power ya Rais wewe au unamchezea kwasababu anacheka muda mwingi? Rais akiamua kuwa Rais hakuna wa kufanya kitu chochote labda aamue kwa roho yake binafsi kuwasamehe ambayo ita mcost hata yeye baadaye. Urais ni taasisi na akiamua kufanya vizuri pasipokuleta madhara kwenye nchi bado anaweza; usimtishie mtu mzima nyau; unless taasis ya urais im betray which is not easy kwani ikitokea hivyo lessons learnt itakuwa hakuna rais atakayekuwa salama na hii ni hatari si kwa position ya urais bali hata kwa usalama wa nchi.
 
Back
Top Bottom