zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,232
- 39,798
Kinajishtukia na kujirekebisha?? Mbona mmepandikiza ubaguzi zenji eti ni ya watu weusi mbona hayo maneno mandela hakusema south africa ingawa waliteswa sana na wazungu??Ukweli Mchungu:
- Chadema, Ni Chama Ambacho Ni Kitega Uchumi Cha Wachagga Na Mtei
- CUF, Ni Chama Chenye Itikati Ya Kidini ( Wakati Tanzania Ina Watu Wenye Imani Tofauti )
- UDP Ni Chama Cha Kujipatia Fursa Za Kiuchumi Kwa Familia Ya Cheyo Na Kaka Yake Ambaye Ni Katibu Mkuu.
- ACT Kilianza Vizuri Ingawa Naona Kimeokoteza Wafuasi Wengi Wa Dini Moja Kutoka Mkoa Mmoja Kigoma
- TLP, ADC, Vyote Hakuna Kitu
....
Wakati Huo Huo CCM Ni Chama Cha Siasa Chenye Msingi Madhubuti Mno, Kila Kila Mkoa, Kila Mtaa, Kila Kitongozi, Kila Familia Kuna Mtu Anaipenda CCM, Kila Kanda, Pande 2 Za Muungano, Dini Zote, Makabila Yote
- CCM Ni Chama Tajiri Chenye Nguvu Mno, Kina Ushawishi Mpaka Jeshini
- Na Kizuri Zaidi CCM Ni Chama Ambacho Huwa Kinajishtukia Na Kujirekebisha Kikifanya Mabaya Mambo Ambayo Upinzani Hawafanyi - Ukiwakosoa Tu Umejimaliza.
Mbulula wa lumumba utaongea nn wakati we ni mbwiga[emoji83] wa FISIEMAnaongelea CCM ipi wakati yy ndio CCM, atupishe!!!!
Sipendi Kuzungumzia Siasa Za ZNZ Kwa Sababu Zimejaa Ubaguzi. Mbona Seif Anawaamisha Wazenji Eti Ili Uwe Muislamu Mzuri Unatakiwa Uwe CUF ? Anaamini Anaweza Kuwa Rais Zenj Ikiwa Nje Ya Muungano - Yaani Dunia Ya Leo Watu Wanalilia Kuungana Wewe Unahubiri Utengano Kwa Maslahi Yako Tu.Kinajishtukia na kujirekebisha?Mbona mmepandikiza ubaguzi zenji eti ni ya watu weusi
Mandela Alitaka Urais Akapewa, Wazulu Walitaka Rais Mweusi Wakapewa - Uchumi Wote Wanamiliki Wazungusouth africa ingawa waliteswa sana na wazungu??
Hukokusema NDIO.
Ni Kweli Tunachakachua Mpaka Mkapata Wabunge Kibao Wa Upinzani - Ninyi Mpaka Mkishinda Ndo Mnaona Haki Imetendeka - Mlivyo Akili Ndogo Mkishinda Tu Ndo Haki ?Mbona kila uchaguzi mnachakachua na kutumia vyombo vya dola kung'ang'ania madaraka
We jamaa bhana,kwanza nimekwambia kwamba wagombee hao uliowaorodhesha? Hayo ni yako,kwa hiyo hakuna watu wengine zaidi ya hao? Harafu mwaka 2000 nakumbuka Mbowe aligombea uraisi so sielewi unachosemaKatiba yetu inataka mgombea urais lazima awe na digrii angalao moja. Mbowe hana. Sasa Lowasa asipogombea urais 2020 unataka Lissu ndiye agombee? Are you serious kwamba rais wa awamu ya sita awe Tundu Lissu? Unajua yatakayotupata Lissu akiwa de presidaa?
[/QUOTE]Sipendi Kuzungumzia Siasa Za ZNZ Kwa Sababu Zimejaa Ubaguzi. Mbona Seif Anawaamisha Wazenji Eti Ili Uwe Muislamu Mzuri Unatakiwa Uwe CUF ? Anaamini Anaweza Kuwa Rais Zenj Ikiwa Nje Ya Muungano - Yaani Dunia Ya Leo Watu Wanalilia Kuungana Wewe Unahubiri Utengano Kwa Maslahi Yako Tu. Mandela Alitaka Urais Akapewa, Wazulu Walitaka Rais Mweusi Wakapewa - Uchumi Wote Wanamiliki Wahindi. Huko
Chadema Wazee Wa Hoja Mbona Hatuoni Hoja Nzito Zikielekezwa ndani ya CDM Au Hata Kumkosoa Tu Mbowe - Au Yeye Malaika Hakosei ?.
Ni Kweli Tunachakachua Mpaka Mkapata Wabunge Kibao Wa Upinzani - Ninyi Mpaka Mkishinda Ndo Mnaona Haki Imetendeka - Mlivyo Akili Ndogo Mkishinda Tu Ndo Hak
Lowassa kiboko cha ccm hawatakuja kumsahau kwa jinsi alivyowatesa mwaka jana
Mtabiri na Mganga wa kienyeji. Endelea na utabiri kwa manufaa ya chama tawala.-........Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Ccm ilishaondoka madarakani kama isingekuwa mabavu ya tume ccm ya uchaguzi.Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
Huyo labda mungu, na siyo MunguJaman Ccm ni chama tulichopewa kutoka kwa mungu. Watanzania msidanganyike
Mfa majiWaziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ameitaka CCM iache kujidanganya kuwa haiwezi kuondoka madarakani akiitaka iangalie alama za nyakati hasa mabadiliko ya uongozi yanayotokea kwingineko duniani.
Hata hivyo, Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema unahitajika muungano wa dhati wa vyama na uliopangiliwa vizuri katika juhudi za kuiondoa CCM madarakani.
Lowassa alisema hayo alipoombwa na mwandishi wa habari hizi kutoa tathmini ya maisha yake ya kisiasa mwaka mmoja na nusu tangu alipojiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA ambako aliteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho akiwakilisha muungano wa vyama vinne – CHADEMA, CUF, NCCR - Mageuzi na NLD – Iliopewa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo.
Wazo binafsi: Ni vyema Lowasa akajitambua kwani CCM haitaondolewa na upinzani unaongozwa na yeye wala Mbowe wala CHADEMA ya sasa.
na kweli mungu amewapa! sisi tunangojea MUNGU atupe uhuru kamili 2020Jaman Ccm ni chama tulichopewa kutoka kwa mungu. Watanzania msidanganyike
ASAHAU kama haamini asubiri aone atakavyochanganyikiwa 2020Lowassa hana madhara kama nyoka wa Bujora makumbusho asahau kabisa kuja kuwa rais wa nchi hii