Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Kazomewa mimi nimekuwa morogoro na nimeshuhudia akizomewa japo mnaficha.

Umesahau huko morogoro tuu.lakini sio kwenye huo mkutano .kama ungekuwako kitu cha kwanza kiovu mwanaccm yeyote angikiona ni jinsi Lowasa anavyo tumia pesa kusomba watu na baiskeli kujaza mafuriko..akiwa amewazidi ccm kwa kubeba watu na malori..so usitudanganyi hapaa.
 
Ahaaahaaa wanatamani azomewe ila haiwezekani. Mzomee uone raia watakavyo kushikisha adabu. Kwenye watu kumi ukawa 7 ccm 3.
 
Mimi nilikuwa ccm ila nimehamia UKAWA maana nimefikiria na kuona kweli ni upuuzi kuendelea kuchagua chama ambacho kimeshindwa kutusaidia kwa miaka 54. Kila siku nilikuwa navuta subira ila nimeona nazeeka tu na hakuna maendeleo bora tubadili mfumo. Tumekuwa tukichagua watu mwisho wa siku familia zao ndio zinakuwa matajiri wengine tunabaki masikini. Je, ni nani asiyejua mtoto wa muheshimiwa ni bilionea? Je, utajiri wake kautoa wapi?
 
Nimeshangazwa sana kusikia Rais katumia tril 4 kusafiri na kila safari iligharimu zaidi ya bn 5
 
Mafisiemu mmepakatwa mwaka huu.

Mimi mkazi wa Morogoro. Hakukuwa na kitu kama hicho. Acheni uzushi. Ila sitashangaa toilet paper inayoitwa uhuru ikaja front na uzushi huo. Si mnajua kuna kanjanja lao moja lilipata kibano cha haja kule kinondoni?
 
Nakwambia myself ni mwana chama wa chadema mwanzo nilichukulia poa nikasema namuunga mkono mamvi bt niliviona kashfa zke kumbe ni nyingi namm nimejiweka pembani naona bora nihamie act
 
Kwahiyo kama wamemzomea lowassa ndio tumpe kura yule ng'ombe wa ccm
 
Usiingie na simu chooni ona mada uliyoandika ukiwa chooni
 
Hamna lolote nyinyi ni maccm mlio jipandikiza ngozi ya ukawa mimi nilikuwa kwenye huo mkutano mwanzo mwisho hakuna kikundi au watu walio mzomea lowassa ila watu walimshangilia sana wakidai huyo ndiye raisi wao nyie kama mmehadithiwa haya tuleteeni hadith nyingine tucheke.
 
duh!!! inaonekana ccm wanakulipa posho nzuri sana kwa propaganda za kizushi kwenye mitandao but OK uko vizuri
 
Kama ulikuwepo kwa hakuna ulichoona au kusikia.viroba vilizidi
 



ndg unachokiongea inaonyesha jinsi gani usivyofanya utafiti ndipo useme unatutia wasiwasi na kuchambua kwako mambo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…