Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA


Hahahahaha misisiem bana badoooooooooooo

Mtakaa sana na likilaza lenu mapombe
 

Punguza viroba vya lumumba vitakuua
 
Wametengeneza kusema uongo hao wasisumbue akili zetu bhana, hiz post zisizomana msizijibu waachien waowaoo
 
Aisha Iddi kadi yako mamba ngapi? Na sisi na mwenzako nani? Ebu katawaza ulale.
 

UVCCM ktk ubora wenu
 
Mimi siwezi kumzomea ila simuungi mkono ila habar za kupanua kinywa eti nimzomee sina wazimu huo
 
Ndiyo matunda ya sharia za mitandao za dogo makamba. Ni mikamba kweli yani
 

Unavyo sema sisi wana chama wa CHADEMA una mana gani koz mimi ni mwanachama pia ila kwa mawazo yako mgando sikungi mkono koz bado hauji elewi
 
Naona Mods aneshaona waakupa nafas ya kuthibitisha am sivyo ban ni haki yako.
 

wewe nyumbu huko chadema umehongwa bei gani?
 

Posts count: 12

Other: member

Could be another Mr chin or most likely multiple IDS
 
Mleta mada kaleta propaganda za ki sisiemu hapa ! Lowasa chaguo langu tuu
 
Nadhani anaongelea wale wana Ccm waliomzomea Magufuli nyumbani kwake Chato wakasema hafai. Hajawahi kuwasaidia lolote tangu awe mbunge na waziri.

Wakaenda mbali zaidi wakidai amekuwa dalali wa wazungu kuchimba madini kanda ya ziwa nakuwaachia wananchi mashimo navumbi, huku mapato akigawana naviongozi wenzie wa Ccm, nakuwaacha wananchi ktk lindi laumaskini wakupindukia.

Kusema kweli Magufuli kwao hakubaliki hata chembe, vijana wamejipanga kumkataa kwavitendo kupitia sanduku la kura.

Mtu asiyekubalika hata nyumbani kwake hafai na hafai hatakuwa mjumbe wanyumba kumi.
 

Huu uzushi wapelekee mazuzu huko kwenye ukoo wako! Nani asiyejua kuwa CCM huwavalisha tshati vijana wa CCM kisha kujidai ni chadema ya Slaa huu uzushi sasa upo wazi kila mtu anaujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…