Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.
 
Mgombea Urais kupitia Chadema,Lowasa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka Chadema kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Lowasa ni janga la Kitaifa
 
Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe, mimi nimeshinda hapa Nashera hotel tangu saa 12 asubuh na makamanda, ni wapi lowasa kazomewa.

Tupieni clip
 
Mgombea Urais kupitia Chadema,Lowasa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka Chadema kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Tumezoea kumzomea Magufuli
 
Hizi ndo habari tunazozitaka wazalendo.
 
Mgombea Urais kupitia Chadema,Lowasa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka Chadema kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Magufuli alizomewa mbeya.
 
wanajifurahisha watu walishaamua!
 
Hata kama amezomewa ....kura yangu kwa lowassa tu!!
Tutalinda kura mitano tu....
 
Mgombea Urais kupitia Chadema,Lowasa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka Chadema kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

hakuna zomea yoyote acha uongo: weka kaushahidi kapicha vya video
 
vijana wa ccm walipewa viroba wakawa wamelewa wanapiga kelele za peoplez!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom