Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini

Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini

Mtumwa wewe wa fikra zako mwenyewe na nafsi yako ambae pia ni mbinafsi kwa chuki zako binafsi dhidi ya lowassa

Wewe hoja gani ulioitoa hapo ya maana mpaka ujibiwe kwa hoja kuitwa kunuandama baba wa watu kwa majina ya ajabu tupisheni huko

Ila LOWASSA ndio rais wa Tanzania yani ndio hivyo

ingelikuwa misaada anayowapita lowassa ndo yenye power kumfanya awe rais angekuwa tokea 2005. mwache azomewe tutajuwa july kama ukoo wa lowassa utamsaidia kuwa rais JMT
 
ingelikuwa misaada anayowapita lowassa ndo yenye power kumfanya awe rais angekuwa tokea 2005. mwache azomewe tutajuwa july kama ukoo wa lowassa utamsaidia kuwa rais JMT

Jiandae kwenda milembe July 12

ENL2015 GUARANTEE
 
Hilo jamaa lilopost lenyewe ndio linaongea ---- ---- huenda ni jinga
 
Burton86jm

NI KWELI NIMESIKIA ANAAMBIWA AENDE, UKU WENGINE WAKIMZOMEA, DUH KAMA ANAZOMEWA NA MIELA YOTE ALOMWAGA, JE ANGEKUWA KAMWAGA ZA KAWAIDA LEO ANGEPIGWA MAWE KABISA UYU CHORo
 
Last edited by a moderator:
EBU JIFUNZENI KUDADAVUA MAMBO, WATU HAO WANAJITOKEZA KILA SIKU WANAPOENDA WAGOMBEA WA CCM, EBU MSITAKE KUYAKUZA MAMBO WAKATI HAMNA KITU CHA MAANA, WA AJABU AJABU SANA NYIe

Imekugusa kwenye ugoko kong'ooooo

LOWASSA habari nyingine hyo inaonyesha jinsi gani anakubalika mbona wengine hawapokelewi na umati mkubwa

Oyoooo soma alama za nyakati that is Edward Lowassa the presidaaaa
 
UYO FISADI NI MAARUFU NDANI YA CCM UKO UFISADINI, SISI UKAWA TUNAMCHUKULIA KAMA KUKU WA SIKUKUU AMBAPO UPEWA MAJI, KURUSHIWA MAHINDI ILI AJIONE KUWA ANAPENDWA SANA, IKIFIKA SIKU RASMI NDO MTAELEWA UKAWA NI LIDUBWANA LENYE ROHO MBAYA SANA HASA KWA MIJIZI PIA MIFISADI KAMA UYU RAFIKI YAKE CHENGE MAKENGEZa
 
Mwe??? Kumbe ukawa ni mabandidu? Watake radhi wenzako aisee

LOWASSA the President
 
Lowassa mtu wa ajabu kweli, kila anapoenda kabla hajaondoka anauambia umati wake kuwa haujawahi kutokea kuwa na watu wengi vile. Hii inamaanisha kila anapoenda umati unaongezeka kitu ambacho si kweli.
 
Lowassa akutana na aibu Mkoa wa Katavi.

Lowassa alipozomewa na watu wa Katavi ktk udhamini - YouTube
[video=youtube;ffx0NhfoT6c]https://www.youtube.com/watch?v=ffx0NhfoT6c[/vi

Mwenye masikio amesikia
Kumbuka wapo watu wanamasikio lakini hawasikii
Wanamacho lakini hawaoni
Palipo na watu wengi hapakosi maovu

Huyu fisadi ana roho ngumu sana.Juzi kaiba leo ananunua watu kwa pesa alizowaibia.El noma sana
 
naunga mkono hoja,LOWASA anayeongoza kwa kashifa mbaya nchi nzima kuungwa mkono na watu kamiki haiwezekani.
1, lowasa aliyesemekana kuanda mpago wa kumpa sumu mwakyembe,
2, lowasa ailiyesemekana kuanda mpago wa kumpa sumu mwandosya kuondoa list ya urais ya nyerere
3, lowasa ailyeanda mpago wa kumuvua wenyekiti wa chama kikwete ili akose nguvu ya kuongoza chama wakati anajua huo ndo mfumo ambao umekifanya chama kuwepo 50yrz
4, richmond

hayo yote mabaya wanamtuhumu yeye tu then watu wanasema chaguo la mungu labda la shetani.

huyo ndiye kibaka Makongoro aliyemtaja.Lowasa ameanza kuiba kabla hajazaliwa
 
Ukipenda chongo utaita Kengeza. Sauti moja inamzomea iko kubwa lakini ziko nyingi nyingi tu kwa mbali. Hata cch oyee, haina majibu. Bado watu mnasema hali ni shwari. Na hapa ni ndani ya ccm, !..
 
Back
Top Bottom