Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Fisaaaadiiii huyoooooo
Acha azomewe naye kazidi,hiyo ni dharau hadi kwa mwenyenyumba,Je?mtu akienda munduli yeye atafurahi
lowasa hana kipaji cha uongozi ila anakipaji cha uongo.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu.
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
Hivi likijitokeza taahira moja likanya pale mbele ya ikulu mtamshutumu rais? Tuwe na uwezo wa kufikiria nje ya box
Lowasa hakutukanwa na umma Bali ni vichaa wawilo ama watatu hivi ndo waliropoka
Watanzania wanamhitaji Lowassa, Lowassa anabebwa na sifa zake za kiutendaji sasa nyinyi mnaoleta maneno ya fitna mtabaki ivyoivyo
naunga mkono hoja,LOWASA anayeongoza kwa kashifa mbaya nchi nzima kuungwa mkono na watu kamiki haiwezekani.
1, lowasa aliyesemekana kuanda mpago wa kumpa sumu mwakyembe,
2, lowasa ailiyesemekana kuanda mpago wa kumpa sumu mwandosya kuondoa list ya urais ya nyerere
3, lowasa ailyeanda mpago wa kumuvua wenyekiti wa chama kikwete ili akose nguvu ya kuongoza chama wakati anajua huo ndo mfumo ambao umekifanya chama kuwepo 50yrz
4, richmond
hayo yote mabaya wanamtuhumu yeye tu then watu wanasema chaguo la mungu labda la shetani.
da jamaa huyu ni mnafiki sana,mim nipo huku mh amepokelewa kwa shauku na shangwe kwel kwel na amezoa wadhamin kbao.jamaa atakuwa team pinda huyu.Acha uongo mbona tunasikia sauti yako tu.......
#SIJAWAHI ONA MTU MPUUZI KAMA HUYU ALIYEPOST HII VIDEO YAANI YEYE NDIYE ANAYEICHUKUA HIYO VIDEO NA NI YEYE NDIYE ANAYEISEMEA KWA NYUMA / hatumtaki aende!!!/ what's types of shits
Yani we acha tu kuna watu hawajielewi ilimradi ana account jf basi ilimradi na yeye a post tu
Hivi hakunaga tiba ya kuzibua ubongo kwa wale amabo ubongo umeganda?
Maana mleta mada anahitaji hayo matibabu ya kuzibuliwa ubongo
LOWASSA ndio habari ya Tanzania
Haya Fanya timing basi
Hivi dozi ya ukichaa ya milembe ulimalizaga ndugu yangu kama hujamaliza ngoja nikuoe ya malimao 10 x 3 utaona tu na utaelwwa kua LOWASSA ndie Rais wa JAMHURI ya MUUNGANO wa Tanzania
kama unampenda lowassa ungekuja kwa hoja siyo kebehi, ata ukikataa hakuzomewa itasaidia nini? iyo petroli aliyokuchangia kwenda naye Katavi ni kesho tu itakuwa imeisha, kwa nini unakuwa mtumwa kwa sabab ya umaskini wako?
Endelea kuota hivohivo..........Nimeshakunote jina lako stigma
Kuzomewa amezomewa jaman hadi yule mjumbe amejaribu kutuliza vizomeo kwa kusema ccm oyeee na amesema kabisa kama hamtaki kumsikiliza basi nitamruhusu aende. amezomewa hakukua na good welcome hiyo ndo reality.
Mbona waliomzomea ni wachache tuu