Mbona ni wahuni wachache tu wanaozomea?huu mtindo wa wahuni kufanya fujo kwenye ni wa kudhauriwa na kupingwa na kila mtu.
Japo simuungi mkono Lowassa lakini siwezi kuunga mkono zaidi kufanyiwa fujo kwenye mikutano yake wala ya mwanasiasa mwingine yeyote.Ni kiwango kikubwa cha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa na ukosefu wa ustaarabu wa kawaida.Shame!
Mwizi huyo Wangepiga na kuchoma moto jiz kuu hilo
Hahahahahahhah...mwaka huu utapata raha sana ukiwa na mgombea The Great kama Lowassa...wapinzani wake wanajiuliza maswali halafu wanajipa majibu...KATAVI Lowassa kapata wadhamini 4000..sasa aliezomea labda ni wewe na familia yako ndugu...samahani sisi waleeeeee HII NDIYO SAFARI YA MATUMAINI...ENL2015[/QUOTE
Tukisema lowasa ni mgonjwa wa akili vibara wake wanabisha ccm nchi nzima inataka wadhimini 450,yeye anakusanya maelf anayapeleka wapi? hata taratibu za chama hazijui eti anataka nchi,wapo engine wangeamua kujitangaza Kama yeye nchi ingizizima,lkn wajiamini hawaitaji matangazo na wanaelewa taratibu za chama,kizuri cha juiza name kibaya chajitembeza
,
mbona ni ww tu unasema aenda wa watu wawili iv!!!!
kanoneHahahahahahhah...mwaka huu utapata raha sana ukiwa na mgombea The Great kama Lowassa...wapinzani wake wanajiuliza maswali halafu wanajipa majibu...KATAVI Lowassa kapata wadhamini 4000..sasa aliezomea labda ni wewe na familia yako ndugu...samahani sisi waleeeeee HII NDIYO SAFARI YA MATUMAINI...ENL2015[/QUOTE
Tukisema lowasa ni mgonjwa wa akili vibara wake wanabisha ccm nchi nzima inataka wadhimini 450,yeye anakusanya maelf anayapeleka wapi? hata taratibu za chama hazijui eti anataka nchi,wapo engine wangeamua kujitangaza Kama yeye nchi ingizizima,lkn wajiamini hawaitaji matangazo na wanaelewa taratibu za chama,kizuri cha juiza name kibaya chajitembeza
,
LOWASSA hajalazimisha watu kumdhamini ila watu kwa mapenzi yao wanajitokeza kumdhamini.na siasa siku zote ni watu na wanaomdhamini wote ni wana chama wa ccm LOWASSA anakubalika ndani na nje ya chama
Mtalala mdomo wazi mwaka huu mijusi iwangie na kutoka
Mbona akina January wamedhaminiwa na watu 1600 hamsemi?
Team mashetani mwaka huu mmeshindwaaaaaaa
Mtuache watanzania na LOWASSA wetu miaka 800000