Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini

Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Lowassa akutana na aibu Mkoa wa Katavi.

Lowassa alipozomewa na watu wa Katavi ktk udhamini - YouTube

 
Last edited by a moderator:
Mbona ni wahuni wachache tu wanaozomea?huu mtindo wa wahuni kufanya fujo kwenye ni wa kudhauriwa na kupingwa na kila mtu.

Japo simuungi mkono Lowassa lakini siwezi kuunga mkono zaidi kufanyiwa fujo kwenye mikutano yake wala ya mwanasiasa mwingine yeyote.Ni kiwango kikubwa cha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa na ukosefu wa ustaarabu wa kawaida.Shame!
 
ni kweli amezomewa , nimethibitisha na ameondoka bila kuaga ! Dah ! noma sana !
 
Hahahahaha siasa majitaka...bora usinge weka video,unge andika tu,tunge kuunga mkono,ila hiyo video inaonesha chuki mmh,Haya mpelekee boss wako umuoneshe ulivyo toa support yako ya nguvu,upate hela ya kula...bwahahahahah noti raiti..
 
Burton86jm

Amezomewa au wewe ndiyo ulikuwa unazomea wakati unachukua hii video ndiyo ulikuwa unapiga kelele aendeee!!!.

Maana wakati Lowassa kapanda jukwaani alikuwa anashangiliwa na kupigiwa makofi .

Kamanda nenda kajipange upya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom