viza wapate wapi?wapo hapa hapa bongo na jana walikuwa na kijifunction cha kushukuru waliowawezesha kipesaSi walisema kina mbowe wako Uholanzi ICJ??
Lowasa mgonjwa yule usimlinganishe na jembe Samweli sita mzee ana afya njema tele telelowassa bmpaka sasa ana miaka 62, na samweli sitta ana miaka 70, prof. mwandosya ana miaka 67 na bado amegombea Uraisi. Wewe Vip?
Trust me Lowassa ndio Rais wa hii Nchi,Wananchi wameamua, hakuna mfumo unaotoka kirahisi, nimesoma gazeti la mwananchi linasema Lowasa asema safari ya kuelekea ikuli ndo imeanza.
Yeah.... Safari ndo imeanza wakuu, hiyo ndio kauli ya shujaa wetu Edward Lowassa
Chanzo: Mwananchi
Tutalipiza kupitia Zanzibar.Maalim akiwa raisi anaitishsa kura ya maoni kuamua kama wazanzibar wanataka muungano au hawautaki.Baada ya hapo Magufuli atakuwa hana kazi-tafakari utaelewa.
afadhali bangi za waendesha bodaboda, hizi za chumbani mbaya sana hizi
Mimi sipati picha. Bunge litakuwepo kabla ya uchaguzi mpya wa Zenji? Waziri mkuu je? Maalimu akiwa Rais wakajitoa muungano uchaguzi unaitishwa upya? Na huyo Lubuva alivyosema kufutwa kwa uchaguzi zanzibar hakuna athari kwa bara hakuona hili? Yaani ni mchanganyiko maalum.
Huku kwetu ni jumapili,vipi huko uliko
Sasa 62 tu amechoka vile je akifika 68 si ndio atakuwa taabani kabisa!lowassa bmpaka sasa ana miaka 62, na samweli sitta ana miaka 70, prof. mwandosya ana miaka 67 na bado amegombea Uraisi. Wewe Vip?
Tutalipiza kupitia Zanzibar.Maalim akiwa raisi anaitishsa kura ya maoni kuamua kama wazanzibar wanataka muungano au hawautaki.Baada ya hapo Magufuli atakuwa hana kazi-tafakari utaelewa.
Tutalipiza kupitia Zanzibar.Maalim akiwa raisi anaitishsa kura ya maoni kuamua kama wazanzibar wanataka muungano au hawautaki.Baada ya hapo Magufuli atakuwa hana kazi-tafakari utaelewa.
Ajiandae hata atengrneze jeshi lake kama anaweza ila atambue kwambwa hii nchi inaitwa Tz na yeye hatakaa awe rais wa nchi yetu