Lowassa: Awamu ya pili inakuja

Lowassa: Awamu ya pili inakuja

This guy is a joke, yeye akomae na ukawa ila chadema is dead to me.. wengi wamewa-dis hawa jamaa sababu ya kupokea kila fisadi anayetoka ccm. ngoja tuone upinzani nani ataweza ku-rise again against ccm.
 
Nawashauri mchonge sanamu yake au mjenge hekalu maalum la kumwabudu mungu wenu Lowassa. Watanzania wamefanya uamuzi na wamemchagua Magufuli awe mtumishi wao. Wengine eendeleeni kuota au kama nilvyoshauri endeleeni kumwabudu huyu mungu wenu wa uongo
 
UKAWA mnajitia aibu mnavyoendelea kulia lia banah!Lowassa ndio mwisho wake mwaka huu kisiasa hasa za uraisi maana umri utakuwa umemtupa mkono ifikapo 2020!

Poleni jamani mtazoea tu hii hali

Tutawaonyesha kwa vitendo haki isivyo chukuliwa kwa mtutu
 
lowassa bmpaka sasa ana miaka 62, na samweli sitta ana miaka 70, prof. mwandosya ana miaka 67 na bado amegombea Uraisi. Wewe Vip?

Sio rahisi Lowasa aendelee kuwa Chadema hadi 2020. asipoondoka mwenyewe, atafukuzwa.
 
Bado nina imani na LOWASSA hii ngoma bado mbichi kabisa mbona!!!

Wewe kweli Xmax ndugu angalia kaka ucje ukadata Maan unapoelekea Sipo
Maan pic imefika THE END staring kafa unalazimisha atafufuka anytim .
 
Trust me Lowassa ndio Rais wa hii Nchi,Wananchi wameamua, hakuna mfumo unaotoka kirahisi, nimesoma gazeti la mwananchi linasema Lowasa asema safari ya kuelekea ikuli ndo imeanza.


Yeah.... Safari ndo imeanza wakuu, hiyo ndio kauli ya shujaa wetu Edward Lowassa



Chanzo: Mwananchi
Haaa? uwiiiiiii
 
Nawashauri mchonge sanamu yake au mjenge hekalu maalum la kumwabudu mungu wenu Lowassa. Watanzania wamefanya uamuzi na wamemchagua Magufuli awe mtumishi wao. Wengine eendeleeni kuota au kama nilvyoshauri endeleeni kumwabudu huyu mungu wenu wa uongo

ahahaha tena inatakiwa waweke na siku yao rasmi ya Lowassa day wanafiki wakubwa
 
Hiyo safari ameibatiza jina gani mana ya matumaini ndo imeshafika mwisho. Na je mbona mlisema laxima ccm ing'oke madarakani mwaka huu la sivyo haitatoka hadi miaka hamsini ijayo hilo nalo vipi au mmesahau. Kweli mmeisoma namba
Wamundemu utakuwa kigogo wa ccm au mmoja wa family yao, otherwise utakuwa umeoza ubongo. Mkuu na shida zote hizi.......hata huoni?
 
Tutalipiza kupitia Zanzibar.Maalim akiwa raisi anaitishsa kura ya maoni kuamua kama wazanzibar wanataka muungano au hawautaki.Baada ya hapo Magufuli atakuwa hana kazi-tafakari utaelewa.

Kwa hiyo kisasi chenu ni kuvunja muungano kwa makusudi ili kuziba machungu ya lowassa kukatwa katwa..
 
ikulu anayozungumzia ni ya monduli akiwa na mikoa yake ya arusha na moshi ajiandae kuchunga ng'ombe wake
 
Si walisema kina mbowe wako Uholanzi ICJ??

Na mie kwa kweli mawashangaa hawa watu, sasa wamerudi labda, na kutokana na mleta uzi, rais ni lowassa! Hili la kuwekeza ktk viroba ni baya sana!
Tanzania kwa ujumla imeamua JPM ndo rais, tatizo jamaa wanaangalia Dar, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya mjini ambako pia wamegawana kura.
NAZIDI KUWACHUKIA BAVICHA wengi, naona ni warudisha maendelea sababu ya UJINGA. Huwezi kulazimisha wote tumpende lowassa!
 
Tujenge nchi sasa wakuu. Kampeni zimeisha na tumeshampata raisi. Hakuna uchaguz usiokuwa na alieshindwa. Tusaidiane na waliochaguliwa kujenga nchi
 
Mimi sipati picha. Bunge litakuwepo kabla ya uchaguzi mpya wa Zenji? Waziri mkuu je? Maalimu akiwa Rais wakajitoa muungano uchaguzi unaitishwa upya? Na huyo Lubuva alivyosema kufutwa kwa uchaguzi zanzibar hakuna athari kwa bara hakuona hili? Yaani ni mchanganyiko maalum.
Kujitoa muungano sio suala la unalala leo kesho unaamka na kusema, TUMEJITOA MUUNGANO. Ni ishu taiti sana!
 
You are a genious mkuu, sasa ubayaubaya tu, hatuwezi kufurahia na watu wanaofurahia ushindi na familia zao sasa hivi , we jiulize , nchi yote imenywea kwa hofu na kukata tamaa, hakuna anaefurahi pamoja nao ila familia zao tu, huo ni ushindi wa kifamilia tu, lakini ingekuwa ni peoples basi mitaa yote watu ambao ndio peoples wangesherehekea wiki yote ya kutangazwa hayo matokeo!

Rais aliyewahi kupendwa sana wakati wa kuchaguliwa kwake ni Jakaya tu, raia wote walikuwa na furaha isiyo kifani na sherehe zilikuwa za kufa mtu. Si Mwinyi wala Mkapa aliyefurahiwa hivyo, unapokuwa katika nchi inayofanya mambo shaghalabaghala, wezi wa Mali ya umma ndio celebrities na wanaitwa wajanja katika jamii, ofisi ya serikali ni sehemu ya kupumzika, basi anapotokea kiongozi aliye kinyume na mambo yote hayo huwezi kutegemea shamrashamra. Waliomchagua hawakufata hitaji la moyo, wamefata hitaji la kichwa, wametumia ubongo na sio mapenzi ya moyo!
 
Back
Top Bottom