.... Hahaha, Huyu Jambazi Anajua Kuigiza Kweli.!
Ni katika Safari ya matumaini...!!!
Tulidhania Singida record yake ya wadhamini elfu 22, isingevunjwa, ila Moshi wakavunja kwa wadhamini 33 elfu, siku moja baadae, rekodi ya Moshi ikavunjwa na Mbeya kwa kupata wadhamini 53 elfu...!!!
Jana Iringa, wameweka rekodi mpya ya kutisha, wadhamini 58 elfu...!!!!
Kama hujui kusoma, picha huoni...!? Kama kipofu, huwezi kusoma pia, SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, si unasikia CCM ikichanja mbuga na Lowassa...!!! Chagua Lowassa 2015...!!!
Tuhuma zote dhidi yake zimegonga mwamba kwani ni propaganda na uzushi, kwani Vyombo vyote halali vya Dola....👇👇👇👇👇👇
PCCB, COURTS, DPP, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI YA UMMA na KAMATI YA MAADILI YA CCM.... hajawahi kutuhumiwa achia mbali kushtakiwa ktk maisha yake ya utumishi...!!!
Pia anapendwa na makundi yoooooote....Waalimu na wafanyakazi, wafugaji, wakulima, wavuvi, masheikh, maaskofu, wakristo, waislam, bodaboda, machinga, UVCCM, BAVICHA, UWT, Umoja wa Wanawake CCM, CCM NEC, Wafanyabiashara wakubwa, wasio na dini, Albinos etc etc...!!
So we made our hearts and minds, we go with Lowassa 2015...!!!
Walioiba mali ya umma jiandaeni...!! Mnajua shughuli ya Lowassa...!!!
CCM thru LOWASSA 2015 ndio chaguo sahihi...!!!
Mmeshaambiwa wanatakiwa wadhaminj 450 tu hao wengine karatasi kafungie vitumbua.
Hamuoni aibu kutetea Mwizi au nyie ndo wezi zaidi maana mnamuibia.

Wezi ni nyei mtokao kilimanjaro mnaongozwa na Lema mnaiba mpaka visivyoibwa.Nan asiye mwizi ndan ya ccm?
Una herpes ya mdomoni wewe!Ni katika Safari ya matumaini...!!!