Lowassa aumbuka Pemba

Kwa kweli kuna maisha baada ya uchaguzi lakini wanomtesa huyu Bwana kwa kutaka kura Mungu atawahukumu, Hasahasa daktari wake. Alipashwa kuwa kwenye matibabu na mapumziko ya kutosha sana sio nginjanginja hii.

haa haa kama jk alikuwa akizimiaa jukwaani mwaka 2010 na tulimpa kura. sembuse lowasaaaa....
 
CCM tumeshaanza kuwapa adhabu ya kupiga push up. Mtapiga push up mpaka mlie mwaka huu
 
Hakuwa na haja ya kuomba radhi anapoomba kura,anasikiwa karibu nchi nzima kupitia vyombo vya habari, haongei na watu wa sehemu aliyopo tu.wewe ndio unasumbuliwa na kuwa na ufahamu mdogo
 
sasa mm ndio nilikuwepo mkutanoni hapo nime edit tu.. Alikuwa akizungumzia boda boda upande wa pemba... Mzee anatia huruma kwa kweli.

sasa una edit nini? Wewe mwongo sana maana hiyo thread yako ulikusudia kuonyesha kwamba lowassa kusema bodaboda pemba ni kukosea ukasahau hata hizo vespa ni bodaboda..hata hivyo lowassa anagombea urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzaia anaweza kuongelea maswala ya kitaifa popote....ccm mnatia aibu sana mwaka utafikiri ninyi ndio wapinzani
 

Yes...
 

Nime edit kwa sababu alikuwa anaongea utumbo mwingi,vesper na bodaboda ni vitu viwili tofauti hasa kwa huku Zenj, kama hujui kitu kaa kimya.
 

Akili yako ni fuuupiii kama kidudu chako
 

Haaaaaah huyu EL haaaaah hafai ata kidogo
 
Nime edit kwa sababu alikuwa anaongea utumbo mwingi,vesper na bodaboda ni vitu viwili tofauti hasa kwa huku Zenj, kama hujui kitu kaa kimya.

Kati ya boxer,San lg,toyo,Honda,xl,110,suzuki.

Ipi ni boda boda???
 
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!

Hotuba lazima iendane na eneo husika.alitakiwa azungumzie kero za muungano na sio bodaboda.kubalini tu mzee kachemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…