proof ya kufilisika. huna hoja unatapika mbege kama wachg wakilewa hiyo pombe yao. huna lolote chuki tu na ukabila. ikulu mtaiona tu sio kutaka kuweka fisadi mfanye ulanguzi.Wee tatizo lako HUJAENDA JANDO...
UNA GOVINDA... sasa ni shida sana
Mtapiga push up hadi mkome...vueni na
nguo tuone hayo masox, uchafu mtupu from brain to ur bodies...!!!
CCM out...!!!
maccm yamejaa humu jamii forum kweli kweli yaani lowasa anawanyima usingizi mtakiona tarehe 25
Unaongea ulichoadithiwa mm naongea ninachokiona.. Naishi Mbwen Kota za zssf kituo kwa Jastuma.
Mkubwa mzima unakaa kwa shemeji ako...
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!
Mtukaneni tu ila ndo Raisi wenu huyo
Umesahau na ya Magufuli kusema atawafunga mafisadi wote bila kujua kumbe Kikwete na Mkapa ni mafisadi.
Nahisi hujawahi hata kufika Zanzibar ww.... Kwa taarifa yako hakuna vesper zinazofanya biashara Zenj.... Tatzo Lowasa amezidi kukariri, hadi sera mmmh! Majanga kwa kweli
ccm foreverrrrrrrrccm out 2015
Kweli jmn lowasa huyu nmjuae amefikia hatua ya kupitiliza jukwaa kana kwamba hajui cha kufanya?
Dah
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!
Hah hah haaa. Kweli dawa imeshawaingia na kukolea, ... yaani magamba yoote yameshikwa sehem sehem pabaya. Hata watoto wadogo (yes, there are also big or adult children like Magu-Fool) walijua hiloo ati!!!!!
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!
Hata hivyo ukilinganisha na ya magufuli hiyo ni cha mtoto. Magufuli akihutubia aliwambia wananchi kuwa atawajengea madaraja..wakamwambia hapa mbona hakuna mito....akadakia hata mito nitawaletea.
Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.... Ikambidi aombe radhi na kuendelea na mambo mengine.... Kukariri Kubaya jaman.