Lowassa Atoshaa: Wajumbe wa NEC YA CCM Wanena

Old wine rebottled and rebranded under the cellars of the same chateau! Denomination Monduli Controlee!
Nchi yoote hii, watu woote hawa, mnayemuona ni huyo TU?
Naamini kabisa wanaofikiri nje ya boksi wanaweza kuona mbali zaidi. Pamoja na umuhimu wa kumpata kiongozi mwenye thubutu ya utoaji maamuzi magumu binafsi naamini matatizo ya Tz ni zaidi ya hapo. Nawashangaa sana wanaohubiri ati anahitajika DICTATOR awamu ijayo. Ijulikane madikteta ni pamoja na wendawazimu kina Idi Amin Dada, Sadam Hussein, Pinochet, General Franco, Stalin, Bokassa, Mobutu, Mengistu, Mugabe et al! Eeh? What a load of most foul hogwash.
Karne hii ya 21?
Sasa nyie mnaopiga debe kuhusu huyu jamaa niambieni ana sera gani??? Atanieleza nini katika kunipunguzia msululu wa matatizo ya ugumu wa maisha yangu ya kila siku? afya, Chakula bora, Elimu bora na malazi bora? Uchumi wa nchi hii ataufanyia nini ili hayo yawezekane?
iweje watu wazima na akili zao tuishie kupiga debe tu ati flani anafaa bila kuzungumzia ni kwa vigezo gani? How do you meter that?
 
Nilipoona mleta mada kasema nyerere squire tu baaaas, nikaacha kusoma

Shabiki mandazi at work
 
We okampo foo ni team lowassa

Kweli Tanzania ni kama gari bovu, hivi kweli nchi hii kuna mtu mmoja tu Lowassa mbona naona amechoka sana kiafya. Kama mara mbili nimemwona akiwa 'on foot' du anatia huruma hawezi kupanda hata ngazi moja ya ghorofa jamani mmwoneeni huruma.
 
Mkuu, mapenz ni makubaliano...., ukijaliwa ulimi mzuri na utulivu, utayafurahia mapenzi.....

Uchu wa Madaraka ni jambo lingine!
mh! Baba zima unajadili watu badala ya hoja,hivi hujioni ulivyo mjinga?? Umekaza mamisuri hadi mishipa imekutoka kupost umbea ambao hauna tija lolote kwa taifa. Huyo mke wa slaa aliye ibwa wewe anakuuma nini? Mbona huyo alo ibiwa katulia wewe wawashwa nini?? Haya na huyo unaye dai kampa mimba mtu kwani ulitaka hiyo mimba upewe wewe??na mbona huyo alo pewa hiyo mimba katulia wewe wawashwa nini? Na hyo mdee unaye dai anasaga wanzie ulitaka usagwe wewe? Na kama una hitaji hilo si umafuate na wewe?? Na umejuaje kama anasanga kama si na wewe umesagwa?? Acha upashkuna kujadili mambo ya watu ambayo hayana impact yeyote kwa taifa,jadili hoja zenye manufaa kwa taifa
usiilaze akili yako sababu umbea na ushabiki,kama ni mimba hata mama yako aliipata ndio ukazaliwa mbea mbea wewe usie na haya wala akili.ptuuu.
VIJANA WA CCM WANA UPUNGUFU WA AKILI NDIO MAANA WANAISHI KITUMWA!
 
Ni kweli kabisa kwamba Lowassa ndiye ATOSHAA kwa sababu akili na uwezo wa kufikiri wa Watanzania wengi haupishani sana na Lowassa mwenyewe. Huchukua maamuzi magumu kama ya kwenda kupata kikombe cha babu Loliondo kutibia cancer, kuchuna ngozi za watu kutafuta uongozi, hata wakiambiwa kuuwa Albino ili kupata Utajiri watafanya hivyo - Maamuzi magumu kweli!

Na sii kwamba nasema uongo, tembea Dodoma nzima uliza nani hajawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji kwa tiba ya jambo lolote? utakuta asilimia kubwa kama sii wote kasoro watoto wadogo! Hii ndiyo Tanzania yetu.
 
mh! Baba zima unajadili watu badala ya hoja,hivi hujioni ulivyo mjinga?? Umekaza mamisuri hadi mishipa imekutoka kupost umbea ambao hauna tija lolote kwa taifa. Huyo mke wa slaa aliye ibwa wewe anakuuma nini? Mbona huyo alo ibiwa katulia wewe wawashwa nini?? Haya na huyo unaye dai kampa mimba mtu kwani ulitaka hiyo mimba upewe wewe??na mbona huyo alo pewa hiyo mimba katulia wewe wawashwa nini? Na hyo mdee unaye dai anasaga wanzie ulitaka usagwe wewe? Na kama una hitaji hilo si umafuate na wewe?? Na umejuaje kama anasanga kama si na wewe umesagwa?? Acha upashkuna kujadili mambo ya watu ambayo hayana impact yeyote kwa taifa,jadili hoja zenye manufaa kwa taifa
usiilaze akili yako sababu umbea na ushabiki,kama ni mimba hata mama yako aliipata ndio ukazaliwa mbea mbea wewe usie na haya wala akili.ptuuu.
VIJANA WA CCM WANA UPUNGUFU WA AKILI NDIO MAANA WANAISHI KITUMWA!

soma original, Mkuu Ocampo 4... atakuwa amekuelewa vizuri sana, nashukuru kw hilo....
 
Old wine rebottled and rebranded under the cellars of the same chateau! Denomination Monduli Controlee!
Nchi yoote hii, watu woote hawa, mnayemuona ni huyo TU?
Naamini kabisa wanaofikiri nje ya boksi wanaweza kuona mbali zaidi. Pamoja na umuhimu wa kumpata kiongozi mwenye thubutu ya utoaji maamuzi magumu binafsi naamini matatizo ya Tz ni zaidi ya hapo. Nawashangaa sana wanaohubiri ati anahitajika DICTATOR awamu ijayo. Ijulikane madikteta ni pamoja na wendawazimu kina Idi Amin Dada, Sadam Hussein, Pinochet, General Franco, Stalin, Bokassa, Mobutu, Mengistu, Mugabe et al! Eeh? What a load of most foul hogwash.
Karne hii ya 21?
Sasa nyie mnaopiga debe kuhusu huyu jamaa niambieni ana sera gani??? Atanieleza nini katika kunipunguzia msululu wa matatizo ya ugumu wa maisha yangu ya kila siku? afya, Chakula bora, Elimu bora na malazi bora? Uchumi wa nchi hii ataufanyia nini ili hayo yawezekane?
iweje watu wazima na akili zao tuishie kupiga debe tu ati flani anafaa bila kuzungumzia ni kwa vigezo gani? How do you meter that?

jiandae kisaikolojia team membe
 
Kweli Tanzania ni kama gari bovu, hivi kweli nchi hii kuna mtu mmoja tu Lowassa mbona naona amechoka sana kiafya. Kama mara mbili nimemwona akiwa 'on foot' du anatia huruma hawezi kupanda hata ngazi moja ya ghorofa jamani mmwoneeni huruma.

ndio kwani vp????
 
Mzee wa Kismati-

Kwa vile umenipa bandiko la jamaa wa mdimu inabidi nikumbushe nia yangu ya kupanua hii debate through hoja. Hata hivyo sijamsikia hata mmoja wao katika ku-address ISSUES. Mbali na kuwa reactive hakuna kitu hapo. Namsubiri huyo ajaye! Yupi???
 
lowassa ndiye Rais ajaye na atapita tu tena kwa kishindo kikubwa
 
Nlishasemaga ccm wakichemka tu,Lowassa anakipasua hicho chama vipnde vpande,na kitapotea kwenye raman ya dunia
 
jamaniakuna njia ya kumzuia huyu jamaa...binafsi sio mshabiki wa siasa ama wake lakini sasa hapa tulipo it seems anahijika..anapendwa...anamvuto na ushawishi na kisiasa hakuna zaidi ya hayo.aachwe nae atoe mchango wake.kura yangu nampaaa
well said
 
Back
Top Bottom