Daaah Mkuu unaanza kupiga panapouma sasakama kawaida ameanza kutengeneza makundi!
Hata wewe unaweza kuwa na ofisi yako sio wageni wako na deal zako zote unakutana nazo Ambiancehiyo ofisi ya EL inahusika na nini?
Na nini kazi ya sebule nyumbania kwako? au napo ni ofisi?Hata wewe unaweza kuwa na ofisi yako sio wageni wako na deal zako zote unakutana nazo Ambiance
Sent using Jamii Forums mobile app
Sebuleni kuna mke, watoto beki tatu. Unadiscuss vipi mipango yako. Ukijenga nyumba Weka na ofisi, kama unayo na haina ofisi basi angalia namna ya kuijenga kama haiwezekani hapo fikiria kuongeza nyumba yenye ofisi kama umri na kipato vinaruhusuNa nini kazi ya sebule nyumbania kwako? au napo ni ofisi?
Chadema imeingiaje hapa...??KAZI INAENDELEA LAZIMA CHADEMA IBOMOKE TU
kama kawaida ameanza kutengeneza makundi!
Kwahiyo ukiwa na maktaba nyumbani kwako, napo ni ofisi? au extra room yenye sofa set nayo ni ofisi?Sebuleni kuna mke, watoto beki tatu. Unadiscuss vipi mipango yako. Ukijenga nyumba Weka na ofisi, kama unayo na haina ofisi basi angalia namna ya kuijenga kama haiwezekani hapo fikiria kuongeza nyumba yenye ofisi kama umri na kipato vinaruhusu
Wajinga Walimtabilia Kifo Lakini Yupo Hai Hadi Sasa.hahaha, inafurahisha, nakumbuka kwenye kampeni yule jamaa wa mwanza alitoa shairi lake ati anaharisha atawaletea kipindu pindu, nilihuzunika sana, mtu huwezi ropoka vile kwani hujui kesho yake, ona sasa, hawa hawa wa mwanza ndio waliomtukana sana kwenye kampeni, tena matusi ya dhihaki na dhihaka, daah aisee,
Lol nilidhani kapata mchongo wa pesa. Kumbe ni kutembelea madiwani.Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.
Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya MaguFursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.
hujajibu swali lake, kauliza inahusika na nini badala ya kumjibu, wewe unatoa mipasho.Hata wewe unaweza kuwa na ofisi yako sio wageni wako na deal zako zote unakutana nazo Ambiance
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhhhh....mbona hizi mbio zinanikumbusha zile za 2014???Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.