Lowassa atembelewa na Madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.

LOWASSA AAAAAAAA.jpg

Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya Magu​
Fursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.
 
Hahaha, inafurahisha, nakumbuka kwenye kampeni yule jamaa wa mwanza alitoa shairi lake ati anaharisha atawaletea kipindu pindu, nilihuzunika sana, mtu huwezi ropoka vile kwani hujui kesho yake, ona sasa, hawa hawa wa mwanza ndio waliomtukana sana kwenye kampeni, tena matusi ya dhihaki na dhihaka, daah aisee,
 
Sebuleni kuna mke, watoto beki tatu. Unadiscuss vipi mipango yako. Ukijenga nyumba Weka na ofisi, kama unayo na haina ofisi basi angalia namna ya kuijenga kama haiwezekani hapo fikiria kuongeza nyumba yenye ofisi kama umri na kipato vinaruhusu
Kwahiyo ukiwa na maktaba nyumbani kwako, napo ni ofisi? au extra room yenye sofa set nayo ni ofisi?
 
hahaha, inafurahisha, nakumbuka kwenye kampeni yule jamaa wa mwanza alitoa shairi lake ati anaharisha atawaletea kipindu pindu, nilihuzunika sana, mtu huwezi ropoka vile kwani hujui kesho yake, ona sasa, hawa hawa wa mwanza ndio waliomtukana sana kwenye kampeni, tena matusi ya dhihaki na dhihaka, daah aisee,
Wajinga Walimtabilia Kifo Lakini Yupo Hai Hadi Sasa.
Maendeleo Hayana Chama
 
Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.

LOWASSA AAAAAAAA.jpg

Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya Magu​
Fursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.
Lol nilidhani kapata mchongo wa pesa. Kumbe ni kutembelea madiwani.
Dont overhype anything, ukafanya kuwa ni political gains.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.

LOWASSA AAAAAAAA.jpg

Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya Magu​
Fursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.
Mmhhhh....mbona hizi mbio zinanikumbusha zile za 2014???

Au anataka..........kutoa challenge???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom