Lowassa atembelewa na Madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza

Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.

LOWASSA AAAAAAAA.jpg

Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya Magu​
Fursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.

Jamani hizi siasa za kubaguana ni hatari sana na zitatupeleka kusiko.Ni siasa ambazo hatukuzizoea hapo awali.Sasa hivi hata maofisini tumeanza kubaguana kwa misingi ya siasa,dini,ukabila vitu ambavyo Baba wa Taifa hili alivikemea kwa kasi kubwa lkn kwa sasa vinarudi kwa kasi ya ajabu.hali hii ikiendelea itatupeleka pabaya.Naamini sumu hii inaenea hata ktk kanda,mikoa na hata wilaya kulinga na sehemu ni kabila gani linadominate.Tuombe Mungu yajayo yatasikitisha wengi.Watanzania tuepukane na hila hizo chafu tuwe wamoja kulijenga taifa letu.Tusikubali kubaguliwa kwa misingi yoyote ile na watawala waliopo madarakani.hiyo ni dhambi kubwa na ni uzandiki.
 
Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.

LOWASSA AAAAAAAA.jpg

Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya Magu​
Fursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.

Endelea Kujidanganya na Kuwadanganya Wenzako pia. Pamoja na kwamba amerudi Nyumbani ila tambua ya kwamba kwa sasa Lowassa hatoweza kuaminika Kiharaka hivyo hadi Kushirikishwa katika mambo ya ndani kabisa ya Chama ila kinachofanyika tu sasa ni Kuutumia uzoefu na ukongwe wake Kisiasa kuweza kuamsha ari katika Ngazi za chini za Chama. Hata huko wanakompeleka au wanakomtuma sasa ni sehemu yao ( CCM ) kumpima na hata pia wanapima Upepo ndani ya Chama ili waweze kuona kama Mwakani wanaweza kumtumia katika Kampeni ni akawa ni ' turufu ' nzuri Kwao ( Chama cha CCM ) Kuna mengi nyuma ya unayoyaona sasa ila naomba niishie tu hapa tafadhali.
 
Kwa sasa nchi hii MASHAVU yanekwisha kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.

LOWASSA AAAAAAAA.jpg

Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya Magu​
Fursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.
Edo anaweza kufanya coup ndani ya CCM 2020..... nyie CCM mchukulieni poa tu!
 
KAZI INAENDELEA LAZIMA CHADEMA IBOMOKE TU

Kwani cdm ilijengwa na Lowassa? Yeye mzee kashamsujudia shetani acha apewe fahari za dunia. Cdm ameiacha kama alivyoikuta. Yeye ni kama kuvuja kwa pakacha.
 
Huyu jamaa karudi kuivuruga CCM ili alipize kisasi. Tulieni muone picha linavyoenda
 
Kipindi kile yupo chadema wangemtembelea akuna ata diwani mmoja angefika kwake wakati wanaludi.
 
Siku chache baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kutangaza kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kukaa ndani ya upinzani kwa takribani siku 1312 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kiongozi huyo ameanza kupewa fursa.

LOWASSA AAAAAAAA.jpg

Lowassa akiwa a baadhi ya madiwani Halmashauri ya Magu​
Fursa ambayo kiongozi huyo ameipata ni kutembelewa na madiwani kutoka Halmashauri ya Magu mkoani Mwanza ambao walifika ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya kumuomba kutembelea halmashauri hiyo.
Wakizungumza mbele ya kiongozi huyo, Madiwani walimuomba Lowassa kutembelea Jiji la Mwanza baada ya uamuzi wake wa kurejea chama tawala ikiwa pamoja na kuhamasisha hali ya ukusanyaji wa mapato kwenye jiji hilo.
Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Marchi 1, 2019 Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.
Hilo fisad halina issue mbele ya jamii labda kwa ccm wenzake wachumia tumbo.
 
Back
Top Bottom