Lowassa atembelea waathirika

Thread zenyewe wapiga kura hawazisomi, na wanaozisoma hawapigi kura.
Sidhani kama unajua kuwa wachangiaji wengi wa jf ni walio nje ya TZ na wengine hawategemei hata kurudi bongo

dah! Wabongo wote tuliojaa humu hadi tunabanana hutuoni!
Itabidi tufanye sensa.
 
Originally Posted by masssaiboi
Thread zenyewe wapiga kura hawazisomi, na wanaozisoma hawapigi kura.
Sidhani kama unajua kuwa wachangiaji wengi wa jf ni walio nje ya TZ na wengine hawategemei hata kurudi bongo

kama na kuunga mkono vile...ila ........
 
Mods tafadhali tupe takwimu wengi ninao wafahamu members ni happa nchini lowassa ukweli ni mwizi haitaji nafasi anayopewa

Lowassa anajua kabisa kuwa hatakiwi, lakini anajua ujinga uliopo kwenye system anaweza kucheza nao huo. The fact is hapa Tanzania unaweza kuwa mwizi/jambazi na ukapewa madaraka na ulinzi, unaweza kuwa mtu safi na mwadilifu ukapuuzwa au hata kuishia gerezani.

Lowassa ni smart person, anajua udhaifu uliopo. Anajua kabisa kuwa hana personality ya hata kuwa PM leave alone ya kuwa rais, lakini bongo ukipenyeza rupia na ukapiga fitna kila kitu kinawezekana. Enzi ya viongozi kupatikana kutokana na merit imekwisha.
 
atakuwa rais wa monduli lkn sio tz. never hata afanye nini.

Hii inasikitisha sana kila siku, tunajaribu kumtukana na kusema criminal kila siku, yet hakuna mtu hata mmoja aliyethibitisha na hata leo tukifanya mchakato wa kweli wa viongozi wenye historia ya utendaji kazi nchini - hamna anayemfikia Lowassa - Its a fact!

Kama ana nia ya urais, ni haki yake ya kikatiba ya kuchaguliwa na wenzake, na mwenyewe atajipima kama anaweza kuchagulika au la? kama wewe hutampa kura, vema, ni haki yako. Mimi nitampa kura yangu na nitamtafutia kura za watanzania milioni moja wengine ikiwezekana. Namkubali kama kiongozi, tuache bla bla na propaganda zisizokuwa na kichwa wala miguu. Nawasilisha.
 
1. Huyu fisadi papa akienda ikulu nyerere anafufuka

2. Akienda ikulu huyu popobawa babomu mengine yatalipuka

3. Akigombea na watanzania wakaamuunga mkono basi watanzania ni mijusi si watu

4. Akithubutu kuchukua fomu na wakati anafahamu kuwa watanzania wanamfahamu kama fisadi= basi kwenye kundi la mamba na kenge wapo

5. Kadiri anavyotuzugazuga bila sisi kufahamu ifike mahali wote tuchapwe viboko 70 kila mmoja wetu

6. Kweli si si em haina watu ina maboga!
 
KGBtz,kama hakuna mahakama huru what do you think?
Je tuna PUBLIC PROSECUTORS walio huru?

Chenge,Mkono,Mkapa na wengineo wengi walitakiwa wawe KEKO!
 
1. Huyu fisadi papa akienda ikulu nyerere anafufuka

2. Akienda ikulu huyu popobawa babomu mengine yatalipuka

3. Akigombea na watanzania wakaamuunga mkono basi watanzania ni mijusi si watu

4. Akithubutu kuchukua fomu na wakati anafahamu kuwa watanzania wanamfahamu kama fisadi= basi kwenye kundi la mamba na kenge wapo

5. Kadiri anavyotuzugazuga bila sisi kufahamu ifike mahali wote tuchapwe viboko 70 kila mmoja wetu

6. Kweli si si em haina watu ina maboga!

1. Kwa definition ya fisadi nchini, kiongozi gani siyo fisad? Wanapishana udagaa, upapa na unyangumi. Nyerere ndiyo alim-groom Lowassa kwenye siasa, tafuta confidants wa Nyerere wakuambie, na aliamini kwenye uwezo wake.
2. Mabomu yamelipuka Mbagala akiwa hata siyo Waziri Mkuu na sasa yamelipuka tena, tuache utani huo.
3. Mijusi watu kwasababu wanamuamini? wewe ambaye siyo mjusi mtu unayo haki ya kumpigia wa kwako unayemtaka.
4. Namuombea Mungu afya njema na athubutu kuchukua fomu 2015 na mimi naamini wewe utakuwa wa kwanza kumsaidia.
5.Tuchapwe kwa kutaka maendeleo??
6. CCM ni madhubuti kabisa.
Tumpeni mtu haki yake, na yeye anayo haki ya kikatiba kama wewe, na ameifanyia mengi nchi hii ya kimaendeleo kuliko hata wewe na mimi, labda... Mambo ya Urais ni mipango ya mungu - nani alijua Mkapa angekuwa Rais 2005?? Hata 2015, Rais aaweza kuwa Zitto Kabwe, lakini kila mtu anayo haki yake kama Mtanzania.
 
Lowassa ni fisadi mkuu hapa Tanzania. Yeye pamoja na swahiba wake Rostam Aziz wanaivuruga sana nchi hii. Wacha CCM wamchague awe mgombea Urais wa 2015 ili kifo cha chama tawala kitimie rasmi. Mungu Ibariki Tanzania!
 
Trying to manipulate people thinking..ha!

Anaweza kuwatembelea apendavyo na kutoa awezavyo lakini urais wa nchi yetu..BIG NO
 
Nimeshangaa sana kwa nn mkuu wa polisi (IGP) amempigia salute Edward Ngoyaye Lowassa walipoenda kutembelea kambi ya jeshi Gongolamboto. nikajiuliza ina maana mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama anastahili hiyo heshima au ndiyo woga kwa huyu fisadi?????
 
hakuna kazi ngumu kama kazi ya kujipendekeza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom