maendeleo hayaji bila mtu kuumia na kutoka jasho,ccm ikishakuwa upinzania watapata akili na mbinu bora za kutafuta madaraka, hapo 2025 uwenda wakatushawishi tena labda tutawafikiria ila research fupi ktika watu 10 wanao kuzunguka waulize utakipa kura chama gani utaona namna gani ccm inaondolewa kwa aibu madarakani. wito kwa magufuli ajiandae tu kuwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ajipange kukijenga chama upya urais asahau mwaka huu
no way
kama mtu unafatiria trend zima ya jk unawezo kuona lowassa ana uwezekana mkubwa wa kuwa rais. Na hii nikutokana na madhaifu makwako ya jk katika kukamilisha kila mission aliyo ianzisha.naamin mission ya Mangufu itakuwa failure.tazama orodha za mission za jk zilivyo fell;
-katiba mpya
-maisha bora kwa kila mtanzania
-folen jiji la dar hii inaendana na mradi wa bus rapid
-shule kutokuwa na walim na elimu bora
-kilimo kwanza.
NAWEWE UNAWEZA ONGEZEA MANGINE.
ni kipimo cha uwezo wa chama kuwez kuchallenge chama dolaKwani chama cha upinzani ni laana?
MUSSAAllan au mwingine? Si mmemkata?LOWASA lazima awe Rais wa Tanzania! Hakuna namna nyingine!