Zipi sababu za MTU bora kabisa kutoka upinzani mwenye sifa za kuwa Rais wa nchi hii kuwa ni Mnyika peke yake, kwa vigezo vyote, ukimuangalia usomi na hata uwezo wake na weredi wake.
Sijui ni lini atapewa nafasi hii lakini natembea kwenye njozi hii, Lowasa ni msafisha njia kama Dr slaa na wengine.
Na ushaidi wa kusafisha njia kwa Lowassa ni tangu 1995, alipoanza harakati za Ikulu wakati mkono wa Mungu ukimuweka. Pembeni Muda wote.
Namshauri
Hata kinyonga kubadiLisha rangi ni mabadiLiko lakini bado ni kinyonga yule yule Lowassa aliyekataliwa na Mungu akiwa CCM ataendela kukataliwa hata akienda wapi.
Ushauri wangu kwa MNYIKA
Aendele kukomaa na kuonyesha weledi mkubwa wa kuelewa mambo itamsaidia asifanye siasa za udalali kama za wakina Zitto bali ajikite kwenye kufahamu misingi bora ya taifa kama kiongozi ajaye.