Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Nilikuwa sijui kama wahusika wa mdahalo watatakiwa KUSIMAMA!
Ndiyo umeshajua hivyo
Nilikuwa sijui kama wahusika wa mdahalo watatakiwa KUSIMAMA!
Issue ni uwezo wa kusimama kwa angalau nusu saa.
We ndio kima kabisa ..kumbe mnapima kusimama basi nendeni mkawa
Ima wamama wa gongolamboto maana ni mabingwa wa kusimamama kwenye madaladala
Amemaanisha akili zako kama za nyauMatusi ya nini? Mimi siyo nyau. Mimi ni binadamu mwenzako ndugu yangu.
mawazo ya ndotoniIpo siku utaelewa
mawazo ya ndotoni