asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Ipo siku utaelewaHuja elezea vyema
Ipo siku utaelewaHuja elezea vyema
Matusi ya nini? Mimi siyo nyau. Mimi ni binadamu mwenzako ndugu yangu.
Akiwekw kwenye mdahalo kwa muda wa saa 1 huku amesimama mimi sitakula mwaka mzima.Hakuna mtu anayejua kucheza vzr na siasa ya Tanzania. Lowassa ni mastermind anajua watanzania ni washabiki wa matukio.
Anachofanya lowassa na kambi yake nikuwaingiza wapinzani wake kwenye angel kichwa kichwa kana kwamba hataki mdahalo then aibuke kwenye mdahalo na kujibu maswali vzr.
Ni imani yangu mdahalo hauna tofauti na maswali aliyoulizwa Dodoma nyumbani kwake akajibu vzr, kwa uzoefu wake aliokuwa nao kama waziri mkuu mstaafu anazijua vzr sector zote hawezi kushindwa kujibu swali.
Kuhusu ufisadi bado anao wigo mpana wa kulieleza vzr kama alivyokuwa anasema ni mamlaka ya juu imehusika
Binafsi sioni swali litakalimshinda mzee wetu ataibuka kidedea.
Lowassa2015
Angel=angle
Labda Apewe Maswali Wiki 1 Kabla Ndo Atashinda Mdahalo.Afu Huyu Mbatia Kiongozi Mkubwa Lakini Hoja Finyu Kweli,hivi Kweli Mdahalo Wa Urais Ushindanishwe Kati Ya Wenyeviti Wa Vyama Na Sio Wagombea Wenyewe?Hivi Huyu Zimetimia Kweli?
Tufike mahali tuwe na uwezo wa kujiongeza mi nadhani uraisi ni zaidi ya kusimama na kutetea unachokiamini.. naungana na mleta hoja ya kwanini Lowassa anaeza mgaragaza mpinzani wake.. hii itakuwa inakuwa kama mazoezi ya mpira kati ya mabeki(ccm) na washambuliaji (ukawa).. mmoja atakuwa anashambulia kwa hoja za huyu kushindwa kutimiza ahadi za miaka nenda rudi huku ukawa akitoa hoja za nitawafanyia nini mkinipa ridhaa
Hakuna mtu anayejua kucheza vzr na siasa ya Tanzania. Lowassa ni mastermind anajua watanzania ni washabiki wa matukio.
Anachofanya lowassa na kambi yake nikuwaingiza wapinzani wake kwenye angel kichwa kichwa kana kwamba hataki mdahalo then aibuke kwenye mdahalo na kujibu maswali vzr.
Ni imani yangu mdahalo hauna tofauti na maswali aliyoulizwa Dodoma nyumbani kwake akajibu vzr, kwa uzoefu wake aliokuwa nao kama waziri mkuu mstaafu anazijua vzr sector zote hawezi kushindwa kujibu swali.
Kuhusu ufisadi bado anao wigo mpana wa kulieleza vzr kama alivyokuwa anasema ni mamlaka ya juu imehusika
Binafsi sioni swali litakalimshinda mzee wetu ataibuka kidedea.
Lowassa2015
kama anaweza kukimbia mchakamchaka,je atashindwaje kusimama lisaa limoja?,,,lowasa anacheza na mind za ccm, zitabak siku 10 atapiga kazi ajabu
Issue ni uwezo wa kusimama kwa angalau nusu saa.