Lowassa atakavyoibuka kidedea kwenye mdahalo

Lowassa atakavyoibuka kidedea kwenye mdahalo

HoodRich

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
208
Reaction score
66
Hakuna mtu anayejua kucheza vzr na siasa ya Tanzania. Lowassa ni mastermind anajua watanzania ni washabiki wa matukio.

Anachofanya lowassa na kambi yake nikuwaingiza wapinzani wake kwenye angel kichwa kichwa kana kwamba hataki mdahalo then aibuke kwenye mdahalo na kujibu maswali vzr.

Ni imani yangu mdahalo hauna tofauti na maswali aliyoulizwa Dodoma nyumbani kwake akajibu vzr, kwa uzoefu wake aliokuwa nao kama waziri mkuu mstaafu anazijua vzr sector zote hawezi kushindwa kujibu swali.

Kuhusu ufisadi bado anao wigo mpana wa kulieleza vzr kama alivyokuwa anasema ni mamlaka ya juu imehusika

Binafsi sioni swali litakalimshinda mzee wetu ataibuka kidedea.


Lowassa2015
 
Mi naona hakuna ulazima wa kupotezea muda wagombea. Hizo ilani za vyama zimeandaliwa na viongozi wala sio wagombea wao ni watekelezaji tu wa hio ilani, hivyo wakutanishwe viongozi wa vyama husika kwenye mdahalo
 
Issue ni uwezo wa kusimama kwa angalau nusu saa.

Unachosahau ni kuwa midahalo inawekwa kwa ajili ya wagombea na si wagombea wanakuwepo kwa ajili ya mdahalo.

Mgombea ndiye mwenye kuamua mazingira "agreement". Sasa kama shida ni kusimama you dont need roclet science kudhani mgombea anataka mdahalo akiwa amekaa. Period.

Haoo ndipo CCM watakapolia na kusaga meno.
 
Tufike mahali tuwe na uwezo wa kujiongeza mi nadhani uraisi ni zaidi ya kusimama na kutetea unachokiamini.. naungana na mleta hoja ya kwanini Lowassa anaeza mgaragaza mpinzani wake.. hii itakuwa inakuwa kama mazoezi ya mpira kati ya mabeki(ccm) na washambuliaji (ukawa).. mmoja atakuwa anashambulia kwa hoja za huyu kushindwa kutimiza ahadi za miaka nenda rudi huku ukawa akitoa hoja za nitawafanyia nini mkinipa ridhaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom